Dan Davine
Member
- Feb 1, 2014
- 39
- 5
Binafsi namkubali sana Kamanda Mbowe kwa hotuba zake! Nilianza kufuatilia umakini wa hotuba zake wakati wa harambee ya chama katika uchaguzi mdogo Arumeru.
Nimekuja kuthibitisha juzj pale Bwiru Mwz aliposema atatoa hotuba iliyokita katlka historia ya chama. Watu wengi wwaliguswa na wengine kutoa machozi. Jamaa anajua kuteka jukwaa kwa maneno ya kugusa na wakati mwingine ya kuchangamsha hasa akitumia lugha za vijana!
Mweshimiwa Mbowe ni Charismatic leader fast of all second he is full of wisdom kiasi kwamba hata Wakati ambao anahutubia swala lenye kuhuzunisha,kuumiza,kuleta hasira still u will discover that the man hawezi tumia lugha ya kuuzi,kukera wala inayoweza kuleta vurugu,
Nikirejea hotuba zake kipindi cha maazishi ya wa Tanzania wenzetu katika vurugu Kati ya police na raia iliyojulikana kama (Sinto fahamu) iliyojitokeza mkoani Arusha mapema mwaka 2012,Mh. Mbowe aliweza kutoa hotuba yenye faraja na iliyowataka we TAnzania kuwa watulivu,Huku akitoa rai kwa rais wa Nchi Mh. Dkt Jakaya kikwete juu ya kutolifumbia macho swala la umwagaji damu ya wa TAnzania wenzetu.........BY SAYING SO JAMAA IS AMONG THE BEST SPEAKERS IN TANZANIA WITH SPECTACULAR AND DINSTINCT SPEECH