Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Hiki chama kimejaa mafisadi wengi sana. Chakushangaza tumewafukuza huku ccm kwakuwa walitenda ufisadi wa kutisha wamekimbilia chadema na kuwa wasafi. Hiki chama ni kichafu na hakisafishiki.

Asante sana!!
 
Hoja dhaifu! Watanzania wanaelewa kila kitu ww jidanganye hakuna cha kuzuia CDM Kuchukua dola 2015 na watanzania hawako tayari kusubiri tena miaka 20+ kujenga chama mbadala wa ccm.
 
michango ya m4c moro ilitngazwa siku y mkutano na ilitolewa kama rambirambi kwa akw familia ya ally zona aliyeuawa siku hiyo kwa kuongezea na pesa waliotoakm chama' naomba niwe nimejibu hapo
 
Hoja dhaifu! Watanzania wanaelewa kila kitu ww jidanganye hakuna cha kuzuia CDM Kuchukua dola 2015 na watanzania hawako tayari kusubiri tena miaka 20+ kujenga chama mbadala wa ccm.

Nchi gani mnaitaka? Muongoze kwa kutumia chopa
 
We kilaza kweli ndio maana uchumi unadolola maana unakalili nimesoma tax acts zote na situmii hesabu za vilaza waliokimbia hesabu wewe! Nimetumia random process wewe!! Kujua exactly figures!! Walio soma telecom wanaelewa!!
Hakuna random process bila sample space; jibu hoja kwa hoja acha kuwa hysterical kama mwanamke aliyeko labor word. Kama mimi nimekimbia hesabu hebu tukutane hapa Home ujionee ninavyotisha kwa derivations rediscovered za hadi kina EINSTEIN, GALILEO, GAUSS, etc; mradi usiwe mvivu wa kusoma cv yangu yote iko pale mzee. Hiyo telecom yako ni ipi ile ya kusafirisha vifurushi au hii ya electrical ninayofundisha?
 
Sample space lol! Hope hujui unalolisema difinition ya random process huijui!! Na wala sample space hujui na taxes acts hujasoma! Na difinition ya hesabu hujui! Na wanafunzi unaofundisha ndio maana wahindi wanachukua nafasi zao kwenye private companies! Rudi kaaanza engineering mathematics 1,2,3&4 alafu nitakuwa nakufundisha na wasiwasi na chuo ulichosoma! Maanna mtu akisoma telecom sahihi ni china na india or ulaya Sijui wewe umesomea wapi! Usiniambie umesoma chuo cha nyuki! Nitakutukana!!
 
Hoja dhaifu! Watanzania wanaelewa kila kitu ww jidanganye hakuna cha kuzuia CDM Kuchukua dola 2015 na watanzania hawako tayari kusubiri tena miaka 20+ kujenga chama mbadala wa ccm.

Tatizo ni matumizi mabaya ya chama je tukiwapa hazina itakuwaje???
 
michango ya m4c moro ilitngazwa siku y mkutano na ilitolewa kama rambirambi kwa akw familia ya ally zona aliyeuawa siku hiyo kwa kuongezea na pesa waliotoakm chama' naomba niwe nimejibu hapo

M4 michango ya njia Ya SMS je? Ilikuwa shilingi ngapi!!
 
kwa hiyo chadema ndio itawaongezea mshahara hao wafanyakazi mkuu, kama mshahara mdogo kwa nini hawaachi kazi?

rafiki kuna kipindi serikali yako ya CCM iliongeza mshahara ikasema kima cha chini ni shilling 120,000Tshs lakini kuna viwanda vinavyomilikiwa na waindi vyenye wafanyakazi zaidi ya mia tano vikawa vinawalipa wafanyakazi wake 80,000Tshs , wafanyakzi wakagoma and waliogoma kutafuta haki walifukuzwa

LOGICAL QNS
wewe ni mtanzania .............................if yes............................

kima cha chini cha mtanzania shilingi ngapi.................................

mwalimu wa shule ya msingi anapokea shilingi ngapi......................

Nenda kwenye viwanda vya waindi uliza casual labour wanalipwa shilingi ngapi

na walinzi kwenye makampuni ya ulinzi wanapokea shilingi ngapi

bro inch yako inaishi kwa kodi ya mwananchi

forexample

nalipa kama asilimia 28 to 30% ya mshahara wange kwenye PAYE

na bado kwa kila nachoenda kunua nailpia 18% as VAT kwenye simu na mengine mengi lakini kaka kuna watu wanasamewa kodi kweny inchi

there project nying zimefanyika lakini paka leo am still contribute on their capital cost kwasababu ya mkataba mbovu

kenya wana 3000MGW za umeme sisi tuna megawati 800MGW and still tuko na proud ya chama cha jembe na nyundo

KAMA BADO BASI CCM IKO KWA DAMU UTABADILIKA PALE UNAPOONA NDUGU ZAKO WANALALA NJA WHILE WATU WANASAMEHEWA KODI
 
1 kujenga reli mpya kutoka dar es salaam mpaka mikoa ya kanda ya ziwa - nzega, tabora
2. mkoa wa tanga kuwa jiji la viwanda - tanga mjini
3. tabora kutumia maji ya ziwa victoria - igunga
4. kulipa madeni ya chama cha ushirika mkoa wa shinyanga (shirecu) - shinyanga
5.kumaliza migogoro ya ardhi nchini - dodoma
6. wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - dodoma mjini
7. kuwapatia trekta wakulima - kata ya mrijo, dodoma
8. wananchi kutoondolewa kwenye ranchi ya misenyi - kagera
9.kujenga uwanja wa ndege misenyi - kagera
10. kupanua uwanja wa ndege bukoba - bukoba mjini
11. kujenga uwanja wa ndege mkubwa kigoma - kigoma mjini
12. mtukula kupatiwa umeme kutoka uganda - kagera
13. mikoa ya kagera, kigoma, lindi, rukwa na ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - kagera
14. kuimarisha takukuru kwa miaka mitatu - kagera
15. hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - mbeya
16. kununua meli kubwa kuliko mv bukoba - kagera
17. kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - mwanza
19. kuimarisha usalama ziwa victoria na ziwa tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - mwanza
20. wilaya ya geita kuwa hadhi ya mkoa januari mwakani - geita
21. kulinda muungano kwa nguvu zote - pemba
22. kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko kilosa - morogoro
23. kununua meli mpya kubwa ziwa nyasa - mbeya mjini
24.kujenga bandari kasanga � rukwa
25. kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - songea
26. kufufua mgodi wa makaa ya mawe kiwira - mbeya
27. kuzuia hatari ya kisiwa cha pangani kuzama - tanga
28. kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - iringa
29. kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka same mpaka kisiwani � kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya moshi - dar es salaam - same mkoani kilimanjaro
30. kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya same - same mjini
31.kuboresha barabara za igunga - tabora
32. kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - kisesa magu
33.kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - mbeya mjini
34. kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo hospitali ya taifa ya muhimbili (mhn) - hydom manyara
35. kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - musoma
36.kulinda haki za walemavu - makete
37. kujenga baabara ya njombe - makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - iringa mjini
38. kujenga barabara musoma � mto wa mbu arusha - arusha
39. kuanzisha jimbo la ulyankulu- shinyanga mjini
40. kujenga barabara ya lami manyoni-kigoma � kaliua,tabora
41. kukarabati barabara ya arusha moshi - arusha mjini
42. kuboresha barabara ya handeni, kondoa, mpaka singida - dodoma
43. kuwafidia wanakijiji ng�ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - longido
44. vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa ziwa victoria - shinyanga-kahama kuunganishiwa maji - shinyanga
45. tatizo la umeme kufikia kikomo novemba mwaka huu mkoani arusha � arusha mjini
46. kukopesha wavuvi zana za kilimo - busekera, wilaya ya musoma
47. kuwapatia maji wakazi wa wilaya ya longido - longido
48. kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa hifadhi ya taifa ya seregenti � ngorongoro
49. utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - mbulu mkoani manyara
50. kusambaza maji nchi nzima - babati vijijini
51. kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. Mwaka 2010-2015 - babati vijijini
52. kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - iringa
53. kuhakikisha isimani inapata maji ya uhakika - iringa
54. kuiwekea lami barabara inayokwenda katika hifadhi ya taifa ya ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote tanzania - iringa
55. kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -ifunda
56. kutokomeza malaria 2015 - bunda, mkoa wa mara
57. kuwapa wanawake nafasi zaidi - kilolo, iringa
58. ahadi kuisadia zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - kibandamaiti mjini zanzibar
59.kuipandisha hadhi hospitali ya mnazi mmoja zanzibar kuwa ya rufaa - kibandamaiti mjini zanzibar
60. kuisaidia zanzibar kila panapohitajika msaada - kibandamaiti
61. serikali kujenga upya bandari ya mbambabay - ruvuma
62. ununuzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - mbambabay ruvuma
63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa mbinga (mbicu) � ruvuma
64. ahadi rais wa marekani barack obama kuimwagia misaada tanzania � ruvuma
65. ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-dar es salaam
66.mtwara kuwa mji wa viwanda � mtwara
67. ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - kibaha
68. hospitali ya tumbi kuwa ya mkoa - kibaha
69. halmashauri ya manispaa ya kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - kibaha

hizo kwenye red naona zimetekelezwa! Kumbe jk ametekeleza nyingi na anaendelea kutekeleza wakati anakombelezea urais wake.
nashukuru kwa kunikusha ahadi za kiongozi wangu
 
rafiki kuna kipindi serikali yako ya CCM iliongeza mshahara ikasema kima cha chini ni shilling 120,000Tshs lakini kuna viwanda vinavyomilikiwa na waindi vyenye wafanyakazi zaidi ya mia tano vikawa vinawalipa wafanyakazi wake 80,000Tshs , wafanyakzi wakagoma and waliogoma kutafuta haki walifukuzwa

LOGICAL QNS
wewe ni mtanzania .............................if yes............................

kima cha chini cha mtanzania shilingi ngapi.................................

mwalimu wa shule ya msingi anapokea shilingi ngapi......................

Nenda kwenye viwanda vya waindi uliza casual labour wanalipwa shilingi ngapi

na walinzi kwenye makampuni ya ulinzi wanapokea shilingi ngapi

bro inch yako inaishi kwa kodi ya mwananchi

forexample

nalipa kama asilimia 28 to 30% ya mshahara wange kwenye PAYE

na bado kwa kila nachoenda kunua nailpia 18% as VAT kwenye simu na mengine mengi lakini kaka kuna watu wanasamewa kodi kweny inchi

there project nying zimefanyika lakini paka leo am still contribute on their capital cost kwasababu ya mkataba mbovu

kenya wana 3000MGW za umeme sisi tuna megawati 800MGW and still tuko na proud ya chama cha jembe na nyundo

KAMA BADO BASI CCM IKO KWA DAMU UTABADILIKA PALE UNAPOONA NDUGU ZAKO WANALALA NJA WHILE WATU WANASAMEHEWA KODI[

Sent from my iPhone
 
Sample space lol! Hope hujui unalolisema difinition ya random process huijui!! Na wala sample space hujui na taxes acts hujasoma! Na difinition ya hesabu hujui! Na wanafunzi unaofundisha ndio maana wahindi wanachukua nafasi zao kwenye private companies! Rudi kaaanza engineering mathematics 1,2,3&4 alafu nitakuwa nakufundisha na wasiwasi na chuo ulichosoma! Maanna mtu akisoma telecom sahihi ni china na india or ulaya Sijui wewe umesomea wapi! Usiniambie umesoma chuo cha nyuki! Nitakutukana!!
Sasa mapovu ya nini mzee waache wenye akili wapitie website niliyotoa waamue wenyewe; hizo engineering maths nne ndio za huko china? sana sana ni EM1 na EM2 baaac huko mbele ni specializations ingawa watu wa electrical wanaendelea kushusha maloop integral kwa kwenda mbele. Mimi nashusha hoja wewe unarusha u.h.a.r.o wa moto akili ndogo bhana. Na hakuna random process bila kuwepo sample space mwenye akili anaweza hata ku google na kujiridhisha kuliko kusikiliza kelele za jogoo anayewika mchana kweupe
 
Namaanisha probability with time ni Radom process na Spacemen hapo zipo bei ya kunulia bei ya kuuza na bei ya VAT inclusive na time ni muda wakuza bidhaa na muda wa kupeleka return! Ngoja nisikupe PHD proposal bure! Nikuachie Hapo! Kumbuka Q+1/Q=1 sasa usiniulize bei ya bithaa

Q must be very large for that matter; sasa mbona unachomoa na kuingiza na kuchomoa tena? si ulikataa sample space? sasa mbona unarudi tena kwa kupitia dirishani? uwe mstaarabu bhana na definition ya random processes iko hapa: http://www.cc.gatech.edu/~lebanon/notes/RPdefinitions.pdf Neno SAMPLE SPACE utaliona bila shida au at least utalielewa kama kweli mwanahisabati sio m-bangaizaji wa kichina na veta
 
mtundiko (thread hii) huu utafungwa haraka sana na aliyeutundika hapa atapigwa "ban" asionekane tena jamii forums. Mimi binafsi nimeshipigwa ban mara kadhaa humu, tena ban la kudumu, lakini bado nimo tuu humu. Kuna wimbo mmoja wa bob marley unaitwa "bad card". Katika bad card kuna mstari bob marley anasema "you a-go tired fe see me face, can't get me out of the race, oh, man you said i'm in your place, and then you draw bad cyard, a-make you draw bad cyard, and then you draw bad cyard"

hiyo ndiyo jamii forums, usipokubaliana na uchadema, wanaona "you are in their place".

Kama alivyosema mtoa mada, ndani ya chadema, "nepotism" ndiyo uendeshaji wa chama. Hata ccm nao pia ndiyo hivyo hivyo, ingawa wao kidogo wanachanganya nepotism na "cronyism".

Neno nepotism linatokana na neno la ki-italiano "nipote". Neno nipote kwa kiingereza linakuwa "nephew". Sasa neno nepotism limeanza kutumika kutokana na tabia ya "papa" wa kanisa katoliki kuwapendelea watoto wao wa kuwazaa wenyewe na kuja kuwa ma-kardinali; na baadaye ma-kardinali hao huwa papa. Lakini kutokana na kwamba "papa" au "pope" hatakiwi kuwa na mtoto, basi watoto wa papa, (popes) walikuwa wakiitwa "nephews" au "nipote" badala ya "sons". Kwa mfano; pope callixtus iii alimchagua "nephew" rodrigo kuwa kardinali. Baadaye kardinali rodrigo akaja kuwa papa alexander vi. Mfumo huu ulishamiri sana ndani ya kanisa katoliki kwa miaka mia kadhaa mpaka alipokuja papa innocent xii, akakataza tabia ya watu kuwachagua "nephews" kuwa kardinali kuanzia mwaka 1692.

Sasa chadema kinachofanywa na chadema siyo kitu kipya. Ccm nao wanafanya hivyo hivyo. Ingawa kutokana na historia na uzee wa ccm, hakuna mkoa au kanda inayoweza kusema kwamba ccm ni mali yao.
Kuhusu chadema,..... Well, waingereza wanasema "the proof is in the pudding"- godbless lema. Godbless lema hana hata sifa ya kuwa "class-monitor" wa darasa la nne wa shule ya msingi. Lakini yupo katika kitovu cha nguvu na utawala wa chadema. Kwanini? Kwa sababu - "one of the nephews".

safi sana>>>elimu hii
 
Back
Top Bottom