Kujibizana na Mh. Rais Jukwaani ni ukomavu wa akisiasa?

Kujibizana na Mh. Rais Jukwaani ni ukomavu wa akisiasa?

Hiyo ni human nature tu siku zote binadam hana lililo kamilika anasemwa Mungu na anatupa pumzi sembuse kikwete bila ccm hamna Tanzania...CCM nambarii 1 wengine wanauza suraa tu
 
Mbona umefunga mada yako, vipi wasokuwa na akili timamu kama wewe una uhakika wote wanakupinga na pia una uhakika gani kama wenye akili timamu wote tofauti na wewe kama wanakubaliana na wewe. Nimejikita kwenye maudhuhi zaidi.
 
Rais asiyeweza kumudu hata misukosuko ndani ya chama chake na kuishia kuzungumza kwa mafumbo atayaweza wapi mambo ya katiba? Yeye mwenyewe anakiri kuwa hawaendi kushindana wakati huo huo anasema msimamo wa CCM ni serkali 2 nini tafsiri yake?
 
Mbowe alikuwa anamanisha wana siasa hao hao pia utambuwe kikwete ni mwenyekiti wa ccm taifa wewe ulidhani mbowe aongee na wewe chumia tumbo? Na ccm ikubali kukosolewa na hata mwalimu nyerere aliwahi kusema serikali yake sio mambo yote waliyofanya ni mazuri bali kuna mengine niyakijinga na yakijinga yaachwe nyie wana ccm waleo mnakumbatia yakijinga
 
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).

Tumekusikia, hivi amebakiza siku ngapi? (Kumbuka kutoa siku atakazoenda kuzurura kwenye nchi za watu).

Kama yeye alitoa mipaso jukwaani, mwache ale za uso jukwaani!!!
 
Mbowe kamjibu mwenyekiti wa CCM ndugu Kikwete sio Rais kwa sababu Rais hawezitumia jukwaa la CCM kisha akashambulia wenyeviti wa vyama vingine kisha ajifiche kwenye joho la urais.
 
Back
Top Bottom