Recent content by kaseka k

  1. K

    JamiiForums Tanzania Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

    Anzeni kujibu maswali madogo madogo Hili kubwa litajijibu lenyewe... Mfano wa maswali madogo ni kama Kwanini mtoto wa binadamu akizaliwa hatembei na kuongea mara hiyo? Kwanini kuna Vichaa na watu walio changanyikiwa? Kwa nini binadamu wengi wanaota ndoto na wengine hawaoti? Kwanini binadamu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Rhetoric Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kukata roho

    Binadamu si mwili huu tunauona, yeye ni roho anaemiliki mwili, kama unavyomiliki hiyo smart phone yako... Hivi ulishajiuliza kwanini mtoto wa binadamu hatembei Mara anapozaliwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mungu Alifikiria Sana'a kuzaliwa kwetu Binadamu

    Biashara ya chips mayai... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Mkeo hawezi achana na huyu mtu wake mpaka, kwanza atambue kwamba ametikisa ndoa halali, amegundurika... Akitaka kutengeneza ndoa yenu, Akili toka moyoni kuachana na huyo jamaa Mbele ya Mtaalamu wa mahusiano na ndoa si vinginevyo... Nawe unahitaji kuponywa vilevile kwani Ndoa yenu iko ICU. Kifupi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Makala ya Jenerali Ulimwengu: Magufuli na utawala wa madoido uliokosa mfumo

    Naam, mwenye macho na zone na mwenye masikio na asikie... Namkumbuka sana hayati mchungaji Christopher Mtikila...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Three things that will never change

    Yayayayaaa Mpanzi alipanda mbegu... Zenye udongo mdogo zilinyauka... Thanks Chief 1
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbinguni/peponi pamegunduliwa

    Tena kiazi kinachokula kiazi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    Aaaaah!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyoka wa ajabu

    Hapa huwezi pata majibu sahihi ya maswali yako.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba za mabasi ya mwendokasi pasua kichwa!

    Hii bila shaka ni public service na si mradi wa MTU binafsi... Ukilenga zaidi kukusanya faida badala ya Huduma basi hill nalo ni JIPU
  12. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Swahili language now compulsory in Ugandan schools

    Watu wengine hatuelewi kuwa nguvu ya lugha ya kiswahili ni zaidi ya nguvu ya tsunami yoyote iliyo wahi ipiga dunia. Kiswahili kinazikumba nchi zote za Africa Mashariki halafu nchi zinazopakana na nchi hizi Nazi zitakumbwa tu.
Back
Top Bottom