dullahkheri
Member
- Jul 23, 2017
- 33
- 13
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji102]Kiroho nikiuacha mwili kitini umekaa
Jr[emoji769]
Wape salaam wale jamaa zetu [emoji4]Msata kilingeni maandalizi ya kuelekea kuzimu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji276] [emoji276]
Jr[emoji769]
Wanyama wanamilikiwa na mwli auBinadamu si mwili huu tunauona, yeye ni roho anaemiliki mwili, kama unavyomiliki hiyo smart phone yako... Hivi ulishajiuliza kwanini mtoto wa binadamu hatembei Mara anapozaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muktadha wa Bible takatifu uko sahihi kabisa na nakubaliana nawe kwa asilimia mia moja lakini dunia hii ni zaidi ya uijuavyo
Kuna imani nyingi kuna dini nyingi na nyingine ni za ajabu hasa.... Nakushauri jifunze tu ujue lakini si lazima uamini au u practice... Mungu akurehemu
Jr[emoji769]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Mshana Jr akili zake zipo makalioni [emoji23][emoji23], akizingua ukichapa tuu fimbo makalioni akili zinarudi
[emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji779]Napenda udadisi nahic ningekua jirani ya mshana ningekua najua vingi vya ulimwengu Wa roho,god bless you,watu na karama zenu
Sent using Jamii Forums mobile app