babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
weka chini mkeo na huyo jamaa afu mwambie anataka kwenda wapi
Mkuu umenena vemaKwanza pole sana kaka. Yaani umemuonya na kesho yake akaenda kumegwa na jamaa?? Ukweli mchungu ni kuwa huyo mkeo ni mzinzi, hii tabia hakuanza leo. Kaa ukijua kumsamehe sio tatizo ila talaka ni muhimu, aende akaenjoy vizuri na jamaa yake. Mimi nilimuacha mke wangu dizaini hii hii. Nilifuma txt za jamaa, sikupanick, nikafanya research nikakusanya ushahidi uliojumuisha still photos, video na receipt za hoteli waliyokuwa wanaenda kufanya yao. Nilikuwa na file kabisa. Siku ya siku wazazi wake wamekuja kutembea kwangu, bila makeke nikawaambia afadhali mmekuja, mimi na mwenenu tumeshindwana. Mwenzangu kapata mwanaume rijali zaidi yangu. Ex wife wangu akapigwa na butwaa hajui yametoka wapi. Sebule iliingiwa na ukimya.
Ex wife kaanza kubisha nikamwambia nyamaza ntakumaliza. Nikachukua flash nikachomeka ikaanza kuonyesha anapaki gari wanaingia na jamaa hotelini. Pia nikaleta file la receipts na stills za siku mbali mbali. Wale wazee na wajomba na shangazi zake wakaanza kunipigia magoti tuyamalize. Nilikataa kata kata. Nikawaambia wamchukue aondoke kama alivyokuja. Wanangu wanabaki na mimi. Tukutane mahakamani. Mwanamke alilia mpaka anatambaa lakini kidume nikiwaza jamaa alivyommega tena mara nyingi nikasema hapana. Wakaondoka. Nilichofanya kama revenge nilimgonga mdogo wake na rafiki yake na nikahakikisha amejua. Mwaka wa nne huu sasa ex wife haongei na mimi. Nimekamata kitu kingine maisha yanaendelea lakini kuoa sioi tena natunza wanangu tu.
Hawa wanajamvi wanaokushauri eti uendelee na huyo msaliti mkeo ili usitese watoto inawezekana ni wasaliti na wachepukaji wazuri. Ni kheri watoto wabaki na wewe baba ukawapa upendo (uzuri afrika tuna extended families kwa hiyo support structure ni nzuri sana). Ndoa isiyo na amani, imani au upendo na iliyotamalaki chuki inawaumiza zaidi watoto. Ukienda mahakamani na ushahidi huo huyo mkeo hana chake. Ukikaa naye nakuhakikishia ataendelea kumegwa. Kuchepuka ni tabia. Wala usijitese kufikiri tatizo ni lako. Hakuna mkamilifu lakini mkeo angekuwa na hekima angetafuta namna ya kuzungumza na wewe kuhusu mapungufu yako. Tatizo wake zetu siku hizi uzungu umewajaa na kuwajaza kiburi. Wanafakamia mambo ya ulaya na marekani kama malimbukeni. Utasikia mke wa mtu anasema "hoeing is life" tena kwenye social media. Vizazi vya mama zetu sio kuwa hawakuwa wanachepuka, hapana ila walitumia akili nyingi sana na hawakuwa vicheche kama hawa wa kwetu. Ana bwana Dar, Arusha, Mwanza. Akisafiri tu bwana anamfuata. Anyway ushauri wangu kwako ni kummwaga huyo mkeo. I am sorry to say that she is a seasoned slut.
Sikubariani na hili yani watu mnaoshauri hivi ni sawa na akili za mbuni za kuficha kicha kwenye mchanga kisa hamuoni adui anahisi adui hmuoni pia.
Pole kwa yote ndugu. Kuna usemi unaosema bora shetan unayemjua kuliko malaika usiye mjua. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu hakuna mwanadamu mkamilifu chini ya jua. Tungekuwa tumekamilika hata Mwenyenz Mungu asingemtoa mwanae Yesu Kristo ili afe kwa ajili yetu. Samehe saba mara sabin . Pia humu ulimwenguni hakuna ndoa isiyokuwa na changamoto, cha msingi muombe Mungu akupe u jasiri katika hili lililotukia. Na ndo maana tunakumbushwa kila iitwapo leo ukiamka asubuhi kabithi kila kilicho chako mikonon mwa Mungu ikiwemo uhai wako, familia yako, na mali zako pia. Vivyo hvyo jion usiache kumwambia Mungu asante kwa ulinzi. Ukifanya hvi kila kitu kitaenda sawa. MUNGU siyo mwanadamu hata aseme uongo.Wanabodi,
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission.
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha pili sio mvivu ni mchapa kazi. Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa. Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake.
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na SMS za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa.
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae.
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi.
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack WhatsApp ya wife kwa kutumia whatsapp web.
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi.
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta.
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya.
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli. Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji. Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo.
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa. Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje.
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha.
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa JamiiForums nimeona ndio kimbilio langu pekee.
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza.
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanamke hachungwi...........!!! acha kumfuata fuata. JIAMINI MWANAMME KUMFUATAFUATA KUTAKOLEZA BADALA YA KUMALIZA HILO TATIZO.
Hivyo vitabu vimeweka mlango wa kutokea (uzinzi) sasa ndo amefanya uzinzi anaweza kutoka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo Mwanamke ki roho safi kabisaWanabodi,

Kwanza pole sana kaka. Yaani umemuonya na kesho yake akaenda kumegwa na jamaa?? Ukweli mchungu ni kuwa huyo mkeo ni mzinzi, hii tabia hakuanza leo. Kaa ukijua kumsamehe sio tatizo ila talaka ni muhimu, aende akaenjoy vizuri na jamaa yake. Mimi nilimuacha mke wangu dizaini hii hii. Nilifuma txt za jamaa, sikupanick, nikafanya research nikakusanya ushahidi uliojumuisha still photos, video na receipt za hoteli waliyokuwa wanaenda kufanya yao. Nilikuwa na file kabisa. Siku ya siku wazazi wake wamekuja kutembea kwangu, bila makeke nikawaambia afadhali mmekuja, mimi na mwenenu tumeshindwana. Mwenzangu kapata mwanaume rijali zaidi yangu. Ex wife wangu akapigwa na butwaa hajui yametoka wapi. Sebule iliingiwa na ukimya.
Ex wife kaanza kubisha nikamwambia nyamaza ntakumaliza. Nikachukua flash nikachomeka ikaanza kuonyesha anapaki gari wanaingia na jamaa hotelini. Pia nikaleta file la receipts na stills za siku mbali mbali. Wale wazee na wajomba na shangazi zake wakaanza kunipigia magoti tuyamalize. Nilikataa kata kata. Nikawaambia wamchukue aondoke kama alivyokuja. Wanangu wanabaki na mimi. Tukutane mahakamani. Mwanamke alilia mpaka anatambaa lakini kidume nikiwaza jamaa alivyommega tena mara nyingi nikasema hapana. Wakaondoka. Nilichofanya kama revenge nilimgonga mdogo wake na rafiki yake na nikahakikisha amejua. Mwaka wa nne huu sasa ex wife haongei na mimi. Nimekamata kitu kingine maisha yanaendelea lakini kuoa sioi tena natunza wanangu tu.
Hawa wanajamvi wanaokushauri eti uendelee na huyo msaliti mkeo ili usitese watoto inawezekana ni wasaliti na wachepukaji wazuri. Ni kheri watoto wabaki na wewe baba ukawapa upendo (uzuri afrika tuna extended families kwa hiyo support structure ni nzuri sana). Ndoa isiyo na amani, imani au upendo na iliyotamalaki chuki inawaumiza zaidi watoto. Ukienda mahakamani na ushahidi huo huyo mkeo hana chake. Ukikaa naye nakuhakikishia ataendelea kumegwa. Kuchepuka ni tabia. Wala usijitese kufikiri tatizo ni lako. Hakuna mkamilifu lakini mkeo angekuwa na hekima angetafuta namna ya kuzungumza na wewe kuhusu mapungufu yako. Tatizo wake zetu siku hizi uzungu umewajaa na kuwajaza kiburi. Wanafakamia mambo ya ulaya na marekani kama malimbukeni. Utasikia mke wa mtu anasema "hoeing is life" tena kwenye social media. Vizazi vya mama zetu sio kuwa hawakuwa wanachepuka, hapana ila walitumia akili nyingi sana na hawakuwa vicheche kama hawa wa kwetu. Ana bwana Dar, Arusha, Mwanza. Akisafiri tu bwana anamfuata. Anyway ushauri wangu kwako ni kummwaga huyo mkeo. I am sorry to say that she is a seasoned slut.
Yaan unaanzaje kwa mfanoMkuu king90 nimekuelewa ila suala LA kukaa meza moja na alie nimegea make wangu .... Hapana litakuwa nigumu sana kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani yeye mwenyewe hajui madhara ya kuchepuka mm huo niliompa ni msimamo wangu akichepuka labda nisije kujua nikijua ndio basi hakuna maelezo!!ya nini kusumbuana vichwa!!Hujawafahamu wanawake hata 56%!endelea kumtisha utaona majibu yake!mwanamke ukiwa unamtishatisha ndo unamtuma ndugu yangu!we mwambie tu madharaya kuchepuka basi endelea kujifanya afande sasa!mwakani utakuja hapa unalia lia
Me nadhani kaa chini kwanza ...tafakar kwann ameamua kufanya hivyo...muulize sababu ya kufanya ivyo.....then kapimen afya ...kama yupo ok ..msamehe tuu ...usitumie hasira ktk kufanya maamuzi ... binadamu n watu wa ajabu sana ndugu yang
Pole mkuu dah hawaviumbe sijui uwape nini waridhike utajitahidi kumkaza anasifu kazi yako lakini buree kqbisq haina jinsi ndugu msamehe tu ukiweza japo jambo hilo litakutesa maisha yoote hata ukimuacha sio dawa utaempata huenda kawa balaa zqidi kwakweli upo njia pandaWanabodi,
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission.
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha pili sio mvivu ni mchapa kazi. Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa. Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake.
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na SMS za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa.
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae.
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi.
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack WhatsApp ya wife kwa kutumia whatsapp web.
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi.
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta.
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya.
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli. Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji. Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo.
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa. Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje.
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha.
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa JamiiForums nimeona ndio kimbilio langu pekee.
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza.
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe tu ndugu yanguWanabodi,

Haina haja hiyo miaka 5 yeye nikwakua kajua Leo huenda alianzq kitambo kunguru kunguru kugawa penzi njee haiwi dawa yakukuponya uliofanyiwaIf she was loyal kwa miaka 5 Ushajiuliza kwann sasa hivi amechepuka?
Ni njia sahihi pia kwakua kusahau haya maumivu ningumu sanaaMkeo akishatoa mbwa nje hamna zaidi ya kumwacha aendelee na maisha aliyochagua