Kisayansi, wanawake wenye ndevu, love garden, manyoya miguuni na mikononi, n.k., huwa wana homoni nyingi za kiume kuliko za kike. Kwa kuwa homoni ndo mambo yote, ni wakakamavu kama midume na kule kwenye sita kwa sita, mara nyingi, wanawazidi wenzao wenye homoni za kike nyingi na za kiume kidogo...