The less you know, the happier you are!

The less you know, the happier you are!

Kuna aina ya watu, nashindwa jina gani zuri la kuwapa. Naomba mnisamehe, ila ili kukipa maana hiki ninachokiandika hapa, nitawaita Wajinga au Wapumbavu.

Aina hii ya watu ni wale ambao either hawajasoma kabisa au wana elimu ya msingi na wapo very little informed kuhusu mambo yanavyoendelea Tanzania na duniani!

Ninachokipenda kwa watu hawa, wana furaha muda wote! Yaani utawakuta wanatabasamu na kucheka all the time, hawana stress kabisa mioyoni mwao na ikifika usiku wanalala kwa amani kabisa.

Kadiri unavyojiongezea maarifa, unavyojua mengi zaidi na kuwa well informed kuhusu kila kitu kinachoendelea, huzuni moyoni inaongezeka. Inaongezeka kiasi kwamba moyo unakuuma mchana na usiku hulali kwa raha.

Kadiri unavyozidi kujua zaidi, unapata maswali mengi zaidi yasiyo na majibu!

Ule mstari unaosema "Kwenye wingi wa maarifa kuna wingi wa huzuni, na yeyote ajiongezeaye maarifa anajiongezea huzuni" ni wa kweli kabisa. Na leo nimejua kwamba, the less you know, the happier you are!

Bora niwe mjinga kwa kweli, nimevurugika na huu mchakato wa uchaguzi! Nahisi nitapasuka.

Aksante kwa kunisemea hasa para ya mwisho.Najuta kujua jinsi magamba walivyochakachua matokeo.lindi?mtwara,mwanza,kigoma na kwingineko zaidi hasa keko!
 
Kuna aina ya watu, nashindwa jina gani zuri la kuwapa. Naomba mnisamehe, ila ili kukipa maana hiki ninachokiandika hapa, nitawaita Wajinga au Wapumbavu.

Aina hii ya watu ni wale ambao either hawajasoma kabisa au wana elimu ya msingi na wapo very little informed kuhusu mambo yanavyoendelea Tanzania na duniani!

Ninachokipenda kwa watu hawa, wana furaha muda wote! Yaani utawakuta wanatabasamu na kucheka all the time, hawana stress kabisa mioyoni mwao na ikifika usiku wanalala kwa amani kabisa.

Kadiri unavyojiongezea maarifa, unavyojua mengi zaidi na kuwa well informed kuhusu kila kitu kinachoendelea, huzuni moyoni inaongezeka. Inaongezeka kiasi kwamba moyo unakuuma mchana na usiku hulali kwa raha.

Kadiri unavyozidi kujua zaidi, unapata maswali mengi zaidi yasiyo na majibu!

Ule mstari unaosema "Kwenye wingi wa maarifa kuna wingi wa huzuni, na yeyote ajiongezeaye maarifa anajiongezea huzuni" ni wa kweli kabisa. Na leo nimejua kwamba, the less you know, the happier you are!

Bora niwe mjinga kwa kweli, nimevurugika na huu mchakato wa uchaguzi! Nahisi nitapasuka.

Na kadiri unavyopata uelewa na hofu kuongezeka ndivyo hivyo hivyo na utajiri unazidi kuwa mbali na maisha yako...watu wenye hofu ya maisha ni vigumu sana kufanikiwa,,,fanya utafiti!
 
Kama mimi nina mchanganyiko wa hasira na huzuni. Nimebaki kulaani tu japo najua laana sio kitu kizuri.Sasa nifanyeje.
 
Kuna muda unatamani kama usisikie chochote, yapite tu! Lakini ndio tunaishi humu humu. Ukienda ofisini yanaongelewa, ukipanda dala dala redio zinaongea. Unaweza ukasema ngoja niende bar nikatulie, nako TV zinaonesha.
Najua nikiangalia taarifa nitaendelea umia tu..kilichobaki ni series tu..
 
You are not alone. Kuijua vizuri dunia inayokuzunguka ndiyo chanzo cha raha kupungua! Form two dro outs na form four failures are always happy people unlike profs. Chunguza...
 
Nakumbuka kabla ya uchaguzi wa 2010 nikawa namshawishi dada angu amchague Chadema.alinijibu 2005 alienda Mbowe kijijini kwao Singida akawaahidi maji,sista alimpa kura Mbowe awe rais lakini mpaka 2010 Mbowe hakuleta maji licha ya yeye kumpa kura,kwa hiyo hawezi kuipa chadema

No offence mkuu hivi hii inaweza kuwa kweli?

Nakubaliana na mtoa/mleta mada. Binafsi uzoefu huu nimeupitia kupitia mtoto wa kwanza. Kwa sababu ni daktari wife, akiwa mjamzito ni mawazo tu(sijui mimba itatoka? sijui mtoto atachelewa kulia? sijui atazaliwa akiwa na matatizo/deformities, baada ya kuzaliwa sasa ni shida nyingine,sijui atakuwa kwa wakati(kutambaa,kukaa, sijui hatameza na kupaliwa n.k). All this time, wife wala haimsumbui(kwa sababu knowledge hiyo ya kidaktari haipo).

Kati ya wakati ambao umekuwa mgumu sana kwa mwaka huu ni October! Yaani Ilibidi ni_avoid Media zote baada ya NEC kuanza kutangaza, mimi si kada wala mwanachama wa chama chochote, ila kwa hali niliyopata Psycho-political torture niliyopata haielezeki. Ila sasa mwingine(less knowledgeable about the matter) anayekuja hospitali akiambiwa huduma ni bure(pengine ninyi/wahudumu wa Afya) mnataka tu pesa ndiyo inazidi ku_escalate.

'The less you know the better'
 
Back
Top Bottom