Kuscratch kwa ITV kupitia Star Times

Kuscratch kwa ITV kupitia Star Times

da nimeangaika sana na mafundi kurekebisha antena kumbe watakuwa ni hao star time me nipo tegeta star time watoe tamko waache uhuni.
 
Kwa vingamuzi local anaejua anachofanya ni azam TV tu,nilinunua startimes nikakitupa ndani ya mwezi continental nacho ni yaleyale.
 
Wakuu,kwa kipindi cha wiki sasa ITV kupitia Star Times imekuwa ikiscratch sana hasa kuanzia mida ya saa mbili usiku. Naomba kujua kama kuna mtu ameona tatizo hili. Isije kuwa ni hujuma za TBC za kutaka tuangalie taarifa ya habari ya TBC badala ya ITV.

Hata mm ni week mbili sasa ITV na EATV zote majanga
 
Hata kwangu leo mimezungusha antena mpka kijasho.
 
ITV hata kwa azam Tv ukiiacha mda mrefu inaganda, unakuwa unasikia sauti lakini picha imeganda
 
Tatizo c king'amuzi ni Itv wenyewe wanafanya makusudi ili wauze king'amuzi chao nimejaribu kufuatilia nikaambie siri hii pia sababu ya pili wameona Irv inapendwa wakaamua kufanya hivi
 
kaka hata mimi nina king"amuzi cha star time's ukweli ITV na EATV zin scratches ile mbaya sasa kama wiki hivi sijui kweli tatizo ni nini
 
Itakuwa ni mambo ya bad reception tu, niko Azam sasa nacheki habari ITV iko shwariii kabisa!

AZAM nayo ina tatizo la picha kuganda lakini sauti inasikika, sijui inasababishwa na nini?
 
ITV hata kwa azam Tv ukiiacha mda mrefu inaganda, unakuwa unasikia sauti lakini picha imeganda

Sawa kabisa mkuu na nimefuatilia tatizo ni Azam. kwani mimi home nina dish la ft 6 na receiver yake naona fresh ila kwenye grocery nimeweka Azam yaani inaganda sana!
 
Wakuu,kwa kipindi cha wiki sasa ITV kupitia Star Times imekuwa ikiscratch sana hasa kuanzia mida ya saa mbili usiku. Naomba kujua kama kuna mtu ameona tatizo hili. Isije kuwa ni hujuma za TBC za kutaka tuangalie taarifa ya habari ya TBC badala ya ITV.

Mkuu hata mimi ni hivyo hivyo. Scratch kwenda mbele. Channel nyingine fresh lkn ITV majanga.Malipo niliyolipa juzi ili niangaliae Afcon ndo ya mwisho. Afcon ikiisha nakipiga nyundo nahamia digitek kabisaaa. Pmbavu zao.
 
The same,ITV ni shida tupu

Nahisi pamoja na ving'amuzi lakini ITV ni issue. Haiwezekani decoder zote ITV kwa wiki mbili iscratch wakati channel zingine ziko very clear! Wao wenyewe warekebishe pia.
 
Wakuu,kwa kipindi cha wiki sasa ITV kupitia Star Times imekuwa ikiscratch sana hasa kuanzia mida ya saa mbili usiku. Naomba kujua kama kuna mtu ameona tatizo hili. Isije kuwa ni hujuma za TBC za kutaka tuangalie taarifa ya habari ya TBC badala ya ITV.

wanaweka vizuri mitambo ili waanze kumshupalia vizuri sana waziri wa nishati aliyejiuzuru sospeter muhongo.
 
Wadau hamieni AZAM TV ni bonge burudani wana channel nzuri sana za burudani na unaangalia channek zote bila scratch
 
nilijua kwangu tu nusu nigombane na wife.
 
Back
Top Bottom