Pia itafaa ielweke kwa wanaodhani mwanamke yoyote kuwa yuko after money(knunuliwa), wengine hela wanazo,hela ni kukusaidia kufacilitate mambo ya kawaida kabisa kama kukutana na kulipa bill za kinywaji na si kuhonga,hela ambazo hata ukiwa peke yako bado utahitaji matumizi ya kawaidaukianza na hela maana yake unataka ummege na kusepa
Exactly mkuu, mambo kama kusoma kitabu na matumizi ya email ni nadra sana kutokea. Wengi na e-mail sababu ya social networks.Hahahah! Jamaa atakuwa anongelea mademu wa kwenye "Secreto de'Amor" sio wa hapa bongo..
inavo paswaAcha kukariri. Hela utatumia siku mtakayokutana tena. Sasa ndio kwanza mmekutana unawaza utoe hela tu!
ahahahahaha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu.Hela ndio kila kitu.
Kuna siku nnatoka lodge moja hivi chimbo namuona dogo around 22 or 23 of age kaopoa bonge la shawry anaenda kumtafuna. Alikua ana push ndinga la mshua ake. [emoji23][emoji23] Daah mpaka nika mind dogo kula mzigo ka ule.
We baki kutunisha misuli sijui kutumbua mijicho ka ndulele, wenzio wala.