Recent content by kanyampasira

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

    Timu iko poa..kama umecheza mpira kuna siku mchezaji game ukataa..msuva huyuhuyu si ndiye alikuwa anazomewa kila siku kwenye ligi lakini mwisho wa siku akawa mfungaji bora..mfano leo busungu kacheza vuzuri sana..unapo tathmini kiwango cha timu yako angalia pia na kile cha mpinzani wako..wale...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kauli hizi za Magufuli

    Muda wa kambeni bado mkuu..kuweni na subira...sasa akikwambia atafanya nini sasa hivi na wakati wa kampeni ataongea nini..?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

    Endelea kuota njozi..
  4. K

    JamiiForums Tanzania Haka kajamaa kana dharau sana.

    3.5 million Euro..? Hivi Gabon ni ya ngapi kwa umaskini duniani?
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Wewe mwenyewe una uhakika gani kama utaweza shika ujauzito..?
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

    Simba mtabadilisha timu za kushabikia mpaka mashindano yanaisha..na mi nasema endeleeni hivyohivyo maana hakuna namna nyingine..poleni sana..na kwa timu yenu ilivyo mwakani anzeni kabisa kuchagua zingine za kushabikia...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Nimekumbuka mbali sana..nilikuwa naipenda Tancut Almas Orchestra..wana kinyekinye kisonzo tisa kumi mangala..Kyanga Songa na Kasaloo kyanga mapacha hao walikuwa moto wa kuotea mbali.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

    Mbona tayari wamekwisha potea...yaani eti nao wanamsubiri Lowassa kwa hamu...!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Misemo na majibu ya makondakta

    Gari nyeupe kabisa..panda na viatu vyako usivue.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Acha upotoshaji wewe,watu wanashida na pesa wewe kama umetosheka na hela zako sawa..ila kwa mwenye information atoe kwa jeshi letu..mbona hata Osama alipatikana baada ya America kutangaza donge nono..?
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Acha propaganda hakuna kitu kama hicho...je hao "so called vijana " wamejiandikisha kupiga kura?...kubalini tu matokeo..japo machungu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania JK ndio mzee wa maamuzi magumu!

    Mi nashangaa kwa nini watu wanalialia..? Ndo keshakatwa kubalini matokeo wekeni silaha chini..
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Aliyekatwa kakatwa..na maisha lazima yaendelee..wala hakuna kosa lolote nasubiri kuona shimo likichimbika.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Hiyo yote njaa tu hakuna lingine..
Back
Top Bottom