hii nchi ya kimaku hamna haja ya kuwa na ilan cjui plani ukitaka kuwa rais. Hata ukilala ukaamshwa kesho na kupewa urais ghafla mambo yanaenda tu. Bwegeeee tunaye ametuziirishia Hata kabint cha chekechea akipewa urais mambo yataenda tu. Nyambaff zetu!!Najua Magufuli ni mtendaji, ila lazima awe
na 1, 2, 3, 4........ kama mgombea urais, lazima aseme hata kidogo tu, he is like not prepared at all, nataka kujua his areas priorities, ana plan gani, ILANI YA CCM hawezi kumeza tu, yeye anagombea urais sio ubunge, lazima atupe vionjo of his A,B Cs kama akichaguliwa atafanya nn, sio maneno ya jumla jumla hapa...
Nilikuja kimya kimya, nikachukua fomu kimya kimya, nikamuomba Mungu kimya kimya, nikarudisha fomu kimya kimya...nikashinda Kupeperusha bendera ya CCM kimya kimya....
Sitawaangushaaa, sitawaangushaaa, kimya kimya, eboooooooooo....!!!
Tell us ur policies, ur areas of priorities, tell us utatufanyia nn..? Just hints, natambua kampeni bado officially, but tupe hints utatufanyia nn, ACHA KUSEMA UTAFUATA ILANI TU YA CCM....yaani utaimeza na kukariri ilani yote ya CCM...? ebooo, ww huna chochote, unameza tu unavyopewa..? Tht is most dangerous...!!!
Najua Magufuli ni mtendaji, ila lazima awe
na 1, 2, 3, 4........ kama mgombea urais, lazima aseme hata kidogo tu, he is like not prepared at all, nataka kujua his areas priorities, ana plan gani, ILANI YA CCM hawezi kumeza tu, yeye anagombea urais sio ubunge, lazima atupe vionjo of his A,B Cs kama akichaguliwa atafanya nn, sio maneno ya jumla jumla hapa...
kaka heshima kwako! Inaonekana hakuwa/ motive na hajui anataka kuwa Nani ktk Nchi hii, of which ni hatari sna! Atuambie ni nn kilimusukuma kuchukua fomu, na km anasubiri kukaririshwa agenda/ilani atapata Shida sna!Nilikuja kimya kimya, nikachukua fomu kimya kimya, nikamuomba Mungu kimya kimya, nikarudisha fomu kimya kimya...nikashinda Kupeperusha bendera ya CCM kimya kimya....
Sitawaangushaaa, sitawaangushaaa, kimya kimya, eboooooooooo....!!!
Tell us ur policies, ur areas of priorities, tell us utatufanyia nn..? Just hints, natambua kampeni bado officially, but tupe hints utatufanyia nn, ACHA KUSEMA UTAFUATA ILANI TU YA CCM....yaani utaimeza na kukariri ilani yote ya CCM...? ebooo, ww huna chochote, unameza tu unavyopewa..? Tht is most dangerous...!!!
kaka heshima kwako! Inaonekana hakuwa/ motive na hajui anataka kuwa Nani ktk Nchi hii, of which ni hatari sna! Atuambie ni nn kilimusukuma kuchukua fomu, na km anasubiri kukaririshwa agenda/ilani atapata Shida sna!