simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,698
- 9,590
itakua kenya hiyo hawana inda
Tangu lini Kenya Francophone ?-
itakua kenya hiyo hawana inda
Dah point yako ina mashiko aisee.Kwa post namba 13 ya Bavaria kwenye uzi huu utagundua Messi yupo sahhi maana anaonekana akiwa kashika mwiko kama anajenga (sasa kwenye ujenzi tena aje na suti kama waheshimiwa wetu wanavyovaa suti wanakwenda kupanda mti huku wametandika zuria chini
Gabon hiyo mkuuitakua kenya hiyo hawana inda
Ukute alishaangalia ratiba na mambo atakayoyafanya pindi ataposhukaDah point yako ina mashiko aisee.
Watu wamezoea kibongo bongo.
Europe ni baridi, Afrika ni joto
Muwe mnatumiaga na tuakili twenu tudogo wakati mwengine
Hv kuna heshima gani kuvaa suti wakati ni mla rushwa? ?si afadhali kuvaa sindausi lkn mwadilifu..wake up guyz
Kuna sehemu imeoneshwa kuwa kuna shabiki wa Madrid hapo?
Dharau kitu gani? Mimi mbona sijaona dharau hapo, au watu walitaka avae suti? Hivi suti ni vazi la kiafrika?? Acheni mawazo mgando ninyi, Messi ameamua kuvaa alichojisikia kuvaa. Sidhani kama amemtukana mtu kwa mavazi yake. Kwani kuvaa suti ndio kuwa na heshima?
Mashabiki wa Madrid wana vituko
Vip hapo ktk ujenzi angekuwa ni yule mwanamitindo wenu angeshika mwiko