Hivi watu mlitaka asimamishwe nani? manake kila mtu anamlaumu JK, wakati nafasi ni moja tu!! kila mtu anaita, si balal, lowasa, membe wala pinda
Mnamaana aliyesimamishwa hafai?
Ghalib Bilal kama Pinda, hawana maadili ndio maana WALIKATWA TU kwenye ngazi ya kamati ya maadili na Usalama. Hawachekani na Lowassa!
Hivi watu mlitaka asimamishwe nani? manake kila mtu anamlaumu JK, wakati nafasi ni moja tu!! kila mtu anaita, si balal, lowasa, membe wala pinda
Mnamaana aliyesimamishwa hafai?
waende tu wamwache el alosomea siasa aendelee kupambana na j.k wao wakapumzike ila lowasa hatomuacha j.k hivihivi na bado anakula naye sahani moja na mpaka sasa amemueza vyakutosha na mengi yanakuja tusubiri
Si nasikia jamaa ni mbobezi wa mambo ya Nuclear? aende Marekani akaajiriwe na NASA, atalipwa pesa nzuri kuliko mnyanyaso wa aibu uliompata.
dah watu matapeli kwaiyo huyu mzee kaingizwa mjini kweupee
Bilal hakuwahi kua chaguo la Kikwete ,hata huo umakamu ilibidi wazee waingilie Kati ,JK chaguo lake ilikua Zakia Me........
Nasikia ni mkwe