Recent content by kanjibhai

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Mkuu ulipotaja embasy umeniamsha, ngoja nikimbie kwa mangi nkajipatie embasy zangu za jero.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza Kingereza cha kuongea na kuandika

    Kama unataka kuongea kingereza safi, kwa mda mfupi na huku ukiinjoi ukiwa darasani namaanisha "for big result now" mcheki Wema Sepetu .
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kushare mawasiliano na mpenzi wangu bila yeye kujua

    Black Hawk msaada tafadhari. Nikishainshtall hiyo Sms Forwading, na nikaset namba yangu. Nikiifuta hiyo app, itaendelea kufanya kazi, au? Mana nahisi kama ikibaki itakuwa tatizo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Marekani kuisaidia Israel kujilinda

    kama palestina wangekuwa wamejenga shule, zingewasaidia kivipi kipindi kama hiki?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Nimekusoma vyema.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu Chuo Cha Madini.

    Heshima kwenu GT. Mimi ni mmoja wa wahitimu niliofanya vibaya katika matokeo ya kidato cha sita. Sasa nataka nitumie cheti changu cha form 4 nikasome diploma ya madini. Ukiacha chuo cha madini cha dodoma mana admision zmefanyika, ni chuo gani kingne bora kinachofundisha madini nchini kwetu?
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Kizuizi

    mizambwa nahisi huyu Lameck alikuwa akisema kimoyo moyo "mbwa unayemjua jina hakusumbui" pale alipokuwa akifanya yake kitandani.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

    Nilikuwa kila napojarbu kuingia kwa kutumia either application or google inagoma, kumbe tatzo llkuwa settings, ila kwa sasa nishasolve. Thanks for your concern.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

    Thanks Sana Mkuu, ugonjwa uliokuwa kwenye simu yangu umeutibu. Heshima Kwako.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

    Natumia Voda Mkuu.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

    Mkuu natumia Email kuingia, Na hiyo Line It ni kitu gani? Umeniacha hapo.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

    Model ni itel it2060. Katka kulogin bada ya kuingza username na pasword, napologin simu inaload kwa mda then badala ya page ya fb kufunguka, inarud kule kule ikinitaka kuingza upya username na pasword. Tatzo ni nini hapa? Au haina uwezo?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

    Mkuu Rakims mi natumia itel, naweza kuacess vipi facebook? Mana kila nikijaribu kulog in inagoma.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amechoka kiafya,kifikra,kimwili na kimawazo

    vipi kuhusu mangula?
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Argentina ashangaza dunia

    Sishangai sana kwa sababu, mpira si ugonjwa wa kinamama.
Back
Top Bottom