Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

Sema hauwezi lakini inawezekana vizuri sana hauna ujuzi huo usipotoshe.

umejua anazungumzia simu gani? Are You Sure Simu Zote Line Mbili Zinauwezo Wa Kufanya Hiyo Kitu?
 
Model ni itel it2060.
Katka kulogin bada ya kuingza username na pasword, napologin simu inaload kwa mda then badala ya page ya fb kufunguka, inarud kule kule ikinitaka kuingza upya username na pasword. Tatzo ni nini hapa? Au haina uwezo?

uwezo Inao tena mzuri Tu Mkuu, Ni Configuration... Unaingia Kwa Kutumia Line It? Na Unatumia Namba Ya Simu Au Email?
 
Model ni itel it2060.
Katka kulogin bada ya kuingza username na pasword, napologin simu inaload kwa mda then badala ya page ya fb kufunguka, inarud kule kule ikinitaka kuingza upya username na pasword. Tatzo ni nini hapa? Au haina uwezo?

Uwezo inao, hiyo simu yako ina application ya fb au unaingilia google.

Nisaidie kujibu haya maswali.
(1) Ni-screen touch?
(2)Inatumia netwk gani kma ni screen touch,3G,EDGE,au HSPA?
(3)Je umesha jaribu kuingilia google?
(4)Email na Password ziko sawa?
 
umejua anazungumzia simu gani? Are You Sure Simu Zote Line Mbili Zinauwezo Wa Kufanya Hiyo Kitu?

Kama ni android inaweza vizuri sana, hata kama ni ya line mbili sio lazima iwe ya line moja kijana.

Sema huu ujuzi haujaufuatilia kama utahitaji maelekezo nitakupa.
 
unafanyaje tuelekeze mkuu!

Kwa msaada zaidi..

(1)Ingia kwenye memory card yako utakuta kuna file imeandikwa WhatsApp, wewe edit kwa kuiongezea hivi OGWhatsApp.

(2)Ingia hapa utaona rangi ya kijani imeandikwa (DOWNLOAD 15.29MB) utakutana na hiyo OGWhatsApp kisha
idownload...OGWhatsApp v2.11.256

=>Kama unatumia computer iweke kwenye memory card yako baada ya kuidownload, kisha endelea na hatua hinazofuata.

(3)Baada ya hapo, un-install(ONDOA) WhatsApp yako ile ya kawaida kwenye simu.(USIOGOPE UTAFANYA BACK UP KILA KITU KITARUDI KAMA MWANZO)

(4)Rudi kwenye memory card angalia ile OGWhatsApp imeingia kwenye file gani baada ya kui-download{MARA NYINGI SANA HUWA INAINGIA KWENYE FILE IMEANDIKWA DOWNLOAD} Kama sio hivyo angalia unapo-download vitu huwa vinaingia kwenye file gani.

(5)Install hiyo OGWhatsApp kwenye simu yako kwa kuifungua tu inakupa machanguo mawili (1)Verfie (2)Pakage, hapo changua hiyo {Verfie} Kama haitaleta hivyo basi itaanza kujii-install moja kwa moja ukiifungua.
..............................................................................................................................................................

Baada ya hatua hizo kinachofuatia ni kujiunga kama kawaida,

{1} Rudisha ile ile namba yako uliokuwa unatumia
{2}Itakuletea Back up ikubalie kila kitu chako kitarudi kama zamani msg, video na picha zilizo fifia.

...............................................................................................................................................................

Hatua hii sasa ndio ya muhimu inayoenda kukupatia WhatsApp ya pili.

{1}Nenda kwenye Google play store, andika WhatsApp ikakuja I-download itaji-install yenyewe.
{2}Jisajili kwa kuweka hiyo namba yako mpya unayotaka kuitumia,(angalizo; hakikisha hiyo namba inakuwa hewani, kama hautumii simu ya line mbili basi tafuta simu nyingine ichomeke hiyo line ili iwe hewani)
{3}Hapo utakuwa umefanikisha kila kitu na sasa utakuwa una miliki WhatsApp mbili kwenye simu moja.

Nyongeza; Ile OGWhatsApp jaribu kuingia kwenye setting utaibadilisha rangi ili isifanane na ile WhatsApp ya kawaida kuna rangi utaona wamekuwekea utachangua uipendayo iwe ya notification au ya muonekano wake.{MENGINE UTAJIONGEZA MWENYEWE KWA VILE UVITAKAVYO DEAL NA SETTING TU}

Njooni mpate darasa hapa Mawenzi , Rakims na wewe ICHANA

Angalizo; hii ni maalumu kwa smartphone(android), sio java phone.!

Ahsante kwa kunielewa.
 
Uwezo inao, hiyo simu yako ina application ya fb au unaingilia google.

Nisaidie kujibu haya maswali.
(1) Ni-screen touch?
(2)Inatumia netwk gani kma ni screen touch,3G,EDGE,au HSPA?
(3)Je umesha jaribu kuingilia google?
(4)Email na Password ziko sawa?

Nilikuwa kila napojarbu kuingia kwa kutumia either application or google inagoma, kumbe tatzo llkuwa settings, ila kwa sasa nishasolve. Thanks for your concern.
 
Kwa msaada zaidi..

(1)Ingia kwenye memory card yako utakuta kuna file imeandikwa WhatsApp, wewe edit kwa kuiongezea hivi OGWhatsApp.

(2)Ingia hapa utaona rangi ya kijani imeandikwa (DOWNLOAD 15.29MB) utakutana na hiyo OGWhatsApp kisha
idownload...OGWhatsApp v2.11.256

=>Kama unatumia computer iweke kwenye memory card yako baada ya kuidownload, kisha endelea na hatua hinazofuata.

(3)Baada ya hapo, un-install(ONDOA) WhatsApp yako ile ya kawaida kwenye simu.(USIOGOPE UTAFANYA BACK UP KILA KITU KITARUDI KAMA MWANZO)

(4)Rudi kwenye memory card angalia ile OGWhatsApp imeingia kwenye file gani baada ya kui-download{MARA NYINGI SANA HUWA INAINGIA KWENYE FILE IMEANDIKWA DOWNLOAD} Kama sio hivyo angalia unapo-download vitu huwa vinaingia kwenye file gani.

(5)Install hiyo OGWhatsApp kwenye simu yako kwa kuifungua tu inakupa machanguo mawili (1)Verfie (2)Pakage, hapo changua hiyo {Verfie} Kama haitaleta hivyo basi itaanza kujii-install moja kwa moja ukiifungua.
..............................................................................................................................................................
..............................................................................................................................................................

Baada ya hatua hizo kinachofuatia ni kujiunga kama kawaida,

{1} Rudisha ile ile namba yako uliokuwa unatumia
{2}Itakuletea Back up ikubalie kila kitu chako kitarudi kama zamani msg, video na picha zilizo fifia.

...............................................................................................................................................................
...............................................................................................................................................................

Hatua hii sasa ndio ya muhimu inayoenda kukupatia WhatsApp ya pili.

{1}Nenda kwenye Google play store, andika WhatsApp ikakuja I-download itaji-install yenyewe.
{2}Jisajili kwa kuweka hiyo namba yako mpya unayotaka kuitumia,(angalizo; hakikisha hiyo namba inakuwa hewani, kama hautumii simu ya line mbili basi tafuta simu nyingine ichomeke hiyo line ili iwe hewani)
{3}Hapo utakuwa umefanikisha kila kitu na sasa utakuwa una miliki WhatsApp mbili kwenye simu moja.
..............................................................................................................................................................
...............................................................................................................................................................

Nyongeza; Ile OGWhatsApp jaribu kuingia kwenye setting utaibadilisha rangi ili isifanane na ile WhatsApp ya kawaida kuna rangi utaona wamekuwekea utachangua uipendayo iwe ya notification au ya muonekano wake.{MENGINE UTAJIONGEZA MWENYEWE KWA VILE UVITAKAVYO DEAL NA SETTING TU}

Njooni mpate darasa hapa Mawenzi , Rakims na wewe ICHANA

Angalizo; hii ni maalumu kwa smartphone(android), sio java phone.!

Ahsante kwa kunielewa.

ndio Maana page Nimeandika Whatsapp & fb for every java phone... Lets them get knowledge
 
naweza kusoma masage za whatsup kupitia laptop?

Hiyo inawezekana kwa kutafuta software inayoitwa Bluestacks.
Itafute kupitia google.

Type hivi Download Bluestacks kisha fuatilia link zitakazo kuletea.

Ukisha ipata unainstall kwenye laptop yako, hii itakuwezesha kuipata WhatsApp.

Angalizo; hakikisha laptop yako inatumia window7 au 8, pia iwe na specification za kutosha kama ram yako ni 512MB hapo sahau.
 
Kwa msaada zaidi..

(1)Ingia kwenye memory card yako utakuta kuna file imeandikwa WhatsApp, wewe edit kwa kuiongezea hivi OGWhatsApp.

(2)Ingia hapa utaona rangi ya kijani imeandikwa (DOWNLOAD 15.29MB) utakutana na hiyo OGWhatsApp kisha
idownload...OGWhatsApp v2.11.256

=>Kama unatumia computer iweke kwenye memory card yako baada ya kuidownload, kisha endelea na hatua hinazofuata.

(3)Baada ya hapo, un-install(ONDOA) WhatsApp yako ile ya kawaida kwenye simu.(USIOGOPE UTAFANYA BACK UP KILA KITU KITARUDI KAMA MWANZO)

(4)Rudi kwenye memory card angalia ile OGWhatsApp imeingia kwenye file gani baada ya kui-download{MARA NYINGI SANA HUWA INAINGIA KWENYE FILE IMEANDIKWA DOWNLOAD} Kama sio hivyo angalia unapo-download vitu huwa vinaingia kwenye file gani.

(5)Install hiyo OGWhatsApp kwenye simu yako kwa kuifungua tu inakupa machanguo mawili (1)Verfie (2)Pakage, hapo changua hiyo {Verfie} Kama haitaleta hivyo basi itaanza kujii-install moja kwa moja ukiifungua.
..............................................................................................................................................................
..............................................................................................................................................................

Baada ya hatua hizo kinachofuatia ni kujiunga kama kawaida,

{1} Rudisha ile ile namba yako uliokuwa unatumia
{2}Itakuletea Back up ikubalie kila kitu chako kitarudi kama zamani msg, video na picha zilizo fifia.

...............................................................................................................................................................
...............................................................................................................................................................

Hatua hii sasa ndio ya muhimu inayoenda kukupatia WhatsApp ya pili.

{1}Nenda kwenye Google play store, andika WhatsApp ikakuja I-download itaji-install yenyewe.
{2}Jisajili kwa kuweka hiyo namba yako mpya unayotaka kuitumia,(angalizo; hakikisha hiyo namba inakuwa hewani, kama hautumii simu ya line mbili basi tafuta simu nyingine ichomeke hiyo line ili iwe hewani)
{3}Hapo utakuwa umefanikisha kila kitu na sasa utakuwa una miliki WhatsApp mbili kwenye simu moja.
..............................................................................................................................................................
...............................................................................................................................................................

Nyongeza; Ile OGWhatsApp jaribu kuingia kwenye setting utaibadilisha rangi ili isifanane na ile WhatsApp ya kawaida kuna rangi utaona wamekuwekea utachangua uipendayo iwe ya notification au ya muonekano wake.{MENGINE UTAJIONGEZA MWENYEWE KWA VILE UVITAKAVYO DEAL NA SETTING TU}

Njooni mpate darasa hapa Mawenzi , Rakims na wewe ICHANA

Angalizo; hii ni maalumu kwa smartphone(android), sio java phone.!

Ahsante kwa kunielewa.

Ahsante sana Mkuu Phlagiey, nimefanikiwa!! Maelezo yako ni very systematic and clear!! Ila nimeshindwa kubadilisha rangi ya OGWhatsapp.
 
Mkuu Phlagiey, ingawa contacts na messages vimerudi, videona na pictures Inaonekana lakini siyo active. Nifanyeje nini?
 
Mkuu hizo video ziko kwenye memory card, angalia file ya video unazodownload kutoka WhatsApp utaziona.
 
Back
Top Bottom