The Gate of Heaven
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 234
- 68
Mnapenda awe mnafki kama wanasiasa wa bongo wanaoenda kanisani wakati wao ni waislam na wanaoenda misikitini wakati ni wakristo?
mi mwenyewe nimeangalia match mbili tu, ya ufunguzi mpaka half time na finali yote..si ajabu sana...mpira umekosa ladha kabisa, majina makubwa kuliko uwezo halisia, tumehamia kwenye michezo mingine sasa...
Sio blatter hadi Mwanangu kauliza why messi ???unajua sababu
Uliza
NIKE VS FIFFA
Thank you very much! Nakupa jiji la Paris.Mnapenda awe mnafki kama wanasiasa wa bongo wanaoenda kanisani wakati wao ni waislam?
Mkuu hamia Man U, nasikia kuna foward moja inaitwa Trafodi ni noma kwa magoli.Mi ni Yanga na Arsenal na isipokuwa Wenger simjui mchezaji yeyote.Sijui rules zozote za football na sihami timu ng'o.
Sio blatter hadi Mwanangu kauliza why messi ???unajua sababu
Uliza
NIKE VS FIFFA
rais wa fifa ameshangazwa na tuzo aliyopewa mesi
nasikia kwamba Rais huyo hapendi mpira wa miguu, anapenda mchezo wa CHESS,sasa huwezi kumlazimisha apende sokaSasa kam hana hobbie na mpira!!!!!