Wapi naweza kujifunza Kingereza cha kuongea na kuandika

Kama unataka kuongea kingereza safi, kwa mda mfupi na huku ukiinjoi ukiwa darasani namaanisha "for big result now" mcheki Wema Sepetu .
 
nakushauri nenda chang'ombe maduka mawili kwa USTADHI (shabani omary) hakika hutajutia kutoa pesa yako.

Mzee hawa wote wanataka kukuibia ela yako. Kama unavijisenti vyako. Kazigonga na wanaoongea kwa kiingereza alafu uwetayari kukosolewa na kujifunza.watu ambao lugha yao ya hasili kiingereza wanapenda kuwasaidia wanaopenda kukijua kiingereza. Watu wanaojua kiingereza wakati sio lugha asili ndio wenye nyodo nyingi
 
mwee hata konyagi ukiitumia inasaidia sana kushusha yai. ....embu jaribu uone
 
Hata uende British Council bila kuongea broken huezi jua ng'oo, English ni mazoezi ya kuongea bila kuogopa broken yako, Asa utaenda huko British Council lakini ukirudi home, ni swa tuuu, aiii huwezi Jua
pm, if you need assistance on that, am good teacher,
 
Back
Top Bottom