Tunawajua nyie mnaojipendekeza wengine ni waandishi wa habari ambao wanatarajia kupata neema ya utreuzi na wakati tabia na mienendo yenu inajulikana . Mara kibao utawakuta kwenye jengo la ccm mkoa wakiwatafuta viongozi ili wawape viera wakawarushe kwenye vyombo vya habari. Wengine ni mameneja...
Nadhani japo Mnyika amejikita kwa Dar es salaam basi hoja hii iwahamshe hata wabunge wengine mabubu kuunganisha sauti zao kwa kushiriakiana bila kuangalia itikadi za vyama kuleta ufumbuzi. Si dhani kama Mnyika amekosea amewawakilisha wananchi wake kwa hiyo ilikuwa fursa kwa wananchi wa maeneo...
....But wworld seething with hatred is an intolerable place to live in. But we can not reach the goal by hypocrisy or wishful thinking. We can only do it by honest thinking, honest talking and honest living" haya ni maneno aliyoyasema mwalimu Nyerere 1952 akiwa anasoma Ednburgh University...
Nadhani kwa mtazamo wa harakaharaka usio wa kina watu huwa wanadhani CHADEMA kinavurugu lakini kwa watu wasiokuwa wanafiki na wadadisi nadhani chadema huwa na watu wasiopenda kufunika kombe mwnaharamu apite. Kwa upande wa wabunge wetu waccm huwa wanatetea ili waendelee kushika nafasi na...
Any where in the world no scientific prove ever undertaken to verify intimidation and notorious killing as the bridge to the road of peace. For current world leaders need to be guided by humanity, avoiding arrogance and readness for postive critiscism whose undertaking create the road map for...
Katika maisha jambo zuri na endelevu kwa mtaka maendeleo ni kuamini kuwa kuna wengine wanaojua zaidi yako hivyo utakuwa kubali kukosolewa na hatimaye wazo zuri na endelevu katika utatuzi wa changamoto mbalimbali za kidunia. Nadhani ndugu zangu wa ccmwanakosoa kwa kuwavamia wanaotoa hoja juu yao...
Tanzania namzaha wa Ajira kwa vijana
Nashukuru ndugu WANA JAMII FORUM kunipanafasi ili niweze kutoa maoni yangukuhusu tatizo la ajira ambalo limekuwa ni donda sugu katika jamii (mataifa)yanayoendelea ikiwemo Tanzania. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kazi duniani 2011 inaonyesha kuwa...
Acheni kuadaa watu kwa nadhalia watu wengi wamebuni mawazo tena mazuri lakini wameshindwa kujiajiri. Nadhani watu mlitakiwa kuja na data kuhusu walioanza biashara bila mtaji sambamba na historia zao. Nimewahi kuhudhuria mjadala wa ujasiriamali pale Paradase Hotel...
utaifa kwanza vyama baadaye. Watanzania msio na vyama pazeni sauti zenu msiogope hakuna chama cha kuwafukuza. Lazima tuwe na mchakato ambao hautahodhiwa na chama kama CCM wanavyokomaa na ma dc wakati wanajua kabisa kwamba ni mawakala wa CCM wilayani na wanatumia nguvu kuliko akili. Wakurugenzi...
mi niko SINGIDA naendesha mafunzo ya ujasiriamali katika kubuni wazo endelevu la biashara napango wa biashara (business plan) . MCHAKATO WENU NI MZURI TUNAWEZA KUSHIRIKIANA?
Asatnte sana kwa maono yako mjomba. Historia yako ni nzuri kwa maana ukitaka kufahamu au kutibu tatizo ni vyema kufahamu hisitoria. Unaposema huyu mtoto ana maadili ni vyema tukaangalia historia ya makuzi yake katika familia na hili linazibitishwa na ndugu zangu wachaga kwakuwa na monkali ya...
hizi kazi zipo au geresha kunauwezekano watu walishapelekwa kama volunteer. Masela mlioitwa msisite koma nao mdhibitishe kuwa watoto wa wakulima ni noma . Waone haibu wenyewe kuwaacha watu wenye umahiri kama ninyi. Lakini pia mkipata wajomba msibweteke muwe chachu yakuleta mabadiliko si kuwa...
Vijana mnaowategemea wanasiasa kufikiri kwa ajiri yenu mnawakati mgumu. Serikali tayari imewatenga wako tayari kuwatumia wakati wa uchaguzi ukiisha vinakuja visingizio kuwa vijana wanapenda utajiri wa haraka, hawajitumi ,hawana uzoefu na wanakurupuka. Nimekuwa nikifatilia mitizamo mbalimbali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.