sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Hahaahaaa ebwanaeeee! Nashukuru kwa kumjibu maana kanitusi kwelikweli!
Daah! Sasa mkuu na wewe unafurahia Ngongo alivyojibiwa kutokana na kukutukana wewe wakati amekuomba msamaha ukamjibu poa kamanda pamoja , sidhani kama umefanya ustaarabu ilitakiwa ukae kimya tu yaishe, na si kushabikia anapotukanwa na yeye!
Mbumbumbu Intelligent.