Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

Namalizia, hebu nikusanyie na past papers zote nkitoka tuishieni nazipitia. Tegemea 1 point 7 kama yako..

emeeen! Kuna material kabati zima yamejaa. Ushindwe wewe. Hlf kuna watu nawatafuta. Ushawajua eeh?
 
emeeen! Kuna material kabati zima yamejaa. Ushindwe wewe. Hlf kuna watu nawatafuta. Ushawajua eeh?
Nshawajua. Hivi ulipata habari **** anti ako alikuwa kalazwa? Ametoka juzi...

Samari imeanza, chukua kalamu na karatasi manake ni ndefu kama notisi za Geography!
 
Hongera huo ni mtihani lakini bado kuna form vi, ue, kutafuta kazi na mkubwa kuliko yote kuchaguo mwenzi wa kweli wa ndoa
 
husninyo kumbe wewe denti? mmmh hongera lakini naona umefata nyayo za dadako hapa nilikula one ya 10 enzi zile sijaanza na mabazazi
 
Hongera sana kwa kufaulu. Unapaswa kumshukuru Mungu kwa kufaulu kwani ni wengi ambao wamefanya mtihani lakini hawajafaulu
 
khah!
Yako inatosha kwenye hot pot?
Huo utakuwa advanced ukunaji nazi
lakini basic ukunaji hautoshi kwenye hot pot

wamenionea bana mi nliweka manjonjo kibao siku ile mpaka msimamizi akaomba hotpot nimuwekee sample akai taste nyumbani...
 
Hongera huo ni mtihani lakini bado kuna form vi, ue, kutafuta kazi na mkubwa kuliko yote kuchaguo mwenzi wa kweli wa ndoa

Weeee! Ishia hapo hapo, jambo kubwa kuliko yote ni kupata PHD. Tena zipo za aina mbili tu.
 
mabazazi yana nafasi yake
yanaifanya akili ikonsentreti

husninyo kumbe wewe denti? mmmh hongera lakini naona umefata nyayo za dadako hapa nilikula one ya 10 enzi zile sijaanza na mabazazi
 
Nshawajua. Hivi ulipata habari **** anti ako alikuwa kalazwa? Ametoka juzi...

Samari imeanza, chukua kalamu na karatasi manake ni ndefu kama notisi za Geography!

nilipata habari, familia tunamuuguza ndio maana tunapotea potea. Swahiba hizo nyota nyota umeandika nini?
 
afu wewe ulikuwa mbishi sana kwenye homework
nlikuwa nakwambia kukuna nazi lazima mwili uulegeze
wee unakakamaa mdenge wa mishkaki pori

Congrats husny... Mi nimepata div3 ya point 10 wamenipiga penalty ya ukunaji nazi... Sijui kwann siku attend discussion siku ile.
 
Hongera huo ni mtihani lakini bado kuna form vi, ue, kutafuta kazi na mkubwa kuliko yote kuchaguo mwenzi wa kweli wa ndoa

ue ndio nini? University exams au? Hlf huo mtihani wa mwisho nitapiga chabo kwako.
 
Back
Top Bottom