Join Date : 25th November 2012
Posts : 20
Rep Power : 315
Likes Received0
Likes Given0
Bado haujitambui kama huna hoja zinazoguza watu humu JF tangu umejiunga hakuna anayekupa like, anzisha ID nyingine uwe unajipa Like mwenyewe angalau ujifariji kwa ujinga ulionao.
Kaka siasa haina rika. Usijione upo lichama lako ulilopewa cheo kwa ajili ya ushemeji. Mi ni kijana mwenye fikra sio fikra kama zako za kimagamba.
Mnachotaka kututoa kwenye mada muhimu kutuleta huku. Kwa taarifa yenu hamumpati mtu.
Nimekupata wewe uliyeingia siasa ukubwani, inatosha!
Katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Wanachama 275 wa CHADEMA wamehamia CCM mkoani Singida. CCM YANG'AA ZAIDI
Tatizo hujui maana ya siasa kubwa jinga. Siasa ndivyo ilivyo. Ila kijana kama mimi hata watu 10000000 wakitoka CCM wakija CDM haimaanishi nitafurahi. Kijana kama mimi nataka kuona mabadiliko yanayotokana na siasa sio siasa inayotokana na mabadiliko. Huwezi kunilazimisha nisikilize kila kitu mtu anachosema. Ninachosimamia hapa ni kama wewe kijana jaribu Kuangalia vizuri nafasi yako ya kulitetea taifa lako.
Kumbuka mabadiliko ni mimi na wewe upo kubwa jinga?
Porojo tupu.
CCM inang'ara kwa ufisadi na ujambazi,pia uchakachuaji...sasa mko level za kujichakachua hadi nyinyi wenyewe!
Yaani tangu mwaka 1977 mpaka leo Magmba wana hangaika na kutafuta wanachama? mi nilifikiri haya mambo ni ya vyama vipya kumbe hata Magamba wamo kweny kusaka wanachama
Katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Wanachama 275 wa CHADEMA wamehamia CCM mkoani Singida. CCM YANG'AA ZAIDI
Porojo tupu.
CCM inang'ara kwa ufisadi na ujambazi,pia uchakachuaji...sasa mko level za kujichakachua hadi nyinyi wenyewe!
Mtu mzima na timamu hutofautisha ukweli,uongo,baya na zuri.Kazi kwako.cdm inangara kwa udini ukabila vurugu maandamano
"Nyomi" mlikuwa nayo zamani,sasa hivi mnalazimisha mbwembwe tu.Chadema choke mbaya Anglian Nyomi iliyotoroka magwandani
kama ungekuwa unaangalia nafasi yako kutetea Taifa lako usingekuwa unatetea ujinga ukifanywa na chama chako lazima uwe unasema kweli, ukiliona baya la CCM sema na La Chadema sema sio unakuwa mnafiki kama wewe
Kaka kwa muda huu hakuna atakayekusikiliza na vipropaganda vyako feki. Tunahitaji mutatue kero zetu nyie maccm sio mnaleta mambo ya umbea hapa. Tumechoka na umbea wenu.
Yaani mtu mzima umekaa kabisa unaleta upuuzi huu huku unajua nini kinaendelea? Huu sio mpango sepa bana.
Chadema choke mbaya Anglian Nyomi iliyotoroka magwandani
Usiuite upuuzi - fanya uchunguzi kwanza. Watu wa singida hawajaamka hasa village bado ccm ni mungu-mtu