Na wewe ni mpelelezi pia? Kwani hivyo vyombo ulivyovitaja havijui kazi yao mpaka uviarifu kupitia hapa? Hii JF siku hizi vipi tena? I think it's time now wabongo kuangalia other critical/strategic societal issues. Hatuna maji, hatuna umeme, hatuna elimu, hakuna ajira , hatuna barabara, e.t.c