SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,863
Huyu mzee Malecela amegeuza siasa kama ndio ajira yake...Kwa kweli huu ni wakati muafaka wa kumpiga chini Malecela.
Nadhani hapo tuna tatizo kubwa kwa wanasiasa wetu, Mzee JSM akiwa mmojawao. Wengi wanang'ang'ania kuendelea kuongozoza/kuwakilisha kwa maslahi binafsi zaidi kuliko ya wananchi.
Hata hivyo hiyo approach ya Lusinde ni mbovu na sidhani kama itamfikisha mbali. Yeye awaambie wapiga kura wa mtera anataka kuwafanyia nini, suala la makubaliano yake na Mzee JSM linaingiaje? Ubunge ni utumishi kwa wananchi na si kupokezana au kuachiana kama anavyotaka tu for the sake of it.