Recent content by kangalo

  1. K

    JamiiForums Tanzania msaada jamani

    ipi simu ya ukweli kati hizi Blackberry z10, Galaxy s3, lumia 720,na sony ericksony xparece Y.
  2. K

    JamiiForums Tanzania mimi mgeni kwenye haya mambo naomba msaada

    kati ya hizi nokia lumia na samsung galaxy ipi inafaa kwa matumizi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu jamani.

    Natumia simu ya sumsung galaxy S2 kuna mtu akipigiwa cmu kwa namba yake zinaingia kwangu halafu mwangu inaniandikia "call forwaded" huku inaita je, nawezaje kuondoa ttz hilo ili simu iwe kama mwanzo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Machinga wa mwanza, marufuku kuonekana barabarani jumatatu

    Dah! sasa hii serikali ya ccm inataka watu wauane ya mtwara hayajaisha bado wanataka kutuchokonoa wana mwanza tutachoma ofisi zao ili wasipate sehemu ya kufikiria mipango ya ajabu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uharifu jijini mwanza igoma - ukweli ni upi?

    ulisikia wapi? mimi ni mmoja kati ya tuliokuwepo igoma cku hiyo polisi ndio wale .jambazi kwa kurushiana risasi mambo mengine mkuu uwe unajiuliza kabla kuongea usichokijua sasa wale wahalifu wameonekana wamekufa kwa kupigwa risasi ssa hao wananchi waliwauwaje wakati wenyewe hawana hatA silaha za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaelijua hili jamani

    kuna uwezekano wa kuikata nyimbo isiimbe yote kwa kutumia cmu, it means upate kipande ambacho unakihitaji.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria jamani.

    Kifungu kipi cha sheria za nchi hii kinamshtaki mtu aliyeshindwa kutunza mnyama afugwaye?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya tank la mafuta muda huu mlimani Sekenke wilaya Iramba mkoa wa Singida

    Weka picha kama upo eneo la tukio mkuu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wazili makame mbarawa umewasaliti wana ttcl

    Acha kukurupuka wazori ndio nn?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Salary ya november kutoka december

    Upo sector gani mkuu mbona now tunawaza wa mwezi 12.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa hili jamani

    Habarini za asubuhi wakuu natumia cmu ya nokia E7 kuna alama kama ya power saver inatokea kwenye upande wa battery lakini nikijaribu kuitoa haioneshi kama imetoka tatizo nn naombeni kujuzwa kama ina madhara.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi rasmi M4C: Live toka Gold Crest - Mwanza (Kwa Kanda ya Ziwa)

    Ina maana kesho hakuna mkutano wa hadhara kama tulivyosikia hapo awali?
  13. K

    JamiiForums Tanzania FASTJET has taken over FLY 540 shares!

    Ni zile zilizokuwa 540 nipo uwanja wa mwanza airport najiandaa kuja dar kwa nje ni nzuri ngoja tusubiri huduma zao ndani tutawajuza.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Kali ya mwaka askari ghafla asimama na kuanza kuchora chini sababu haijulikani

    Maisha magumu wanakosa mpaka pesa za kalamu nasikia mpaka sasa hawajapata posho wala mshahara.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa ndani ya Kashfa, Uozo ndani ya Uozo: Mwema, Chagonja, Manumba need to go! (Lowassa pia yumo!)

    Inatia uchungu sana na hayo ni kama baadhi ya mambo tu ktk jeshi la polisi lkn yapo mengi sana ambayo yamejificha watawala wamekaa kimya kwa sbb ya undungu hata katika sehemu muhimu kwenye jamii lakini naamini itafikia wakati watajua watanzania wanahitaji nn.
Back
Top Bottom