Uzinduzi rasmi M4C: Live toka Gold Crest - Mwanza (Kwa Kanda ya Ziwa)

Bonge la elimu ya kutosha kwa wananchi,hongera Chadema kazeni buti sababu safari bado ni ndefu.
 
Naam. Sasa chadema inaongea! M4c ni njia sahihi na muafaka! Kumbukeni kata kwa kata, kjiji kwa kijiji. Orodhesha wanachama, weka uongozi, hamasisha jumuiya hasa wnawake na vijana katika ngazi hizo. Mungu ibariki chadema!!!!!! Wakumbushe kujiandikisha pindi wakati wa kuboresha daftari la wapiga kura utakapowadia na kutunza sana shahada ya kupigia kura!!!!
 
Wamiliki wa Golden Crest Mwanza ni wakazi wa Ar.
Mathias Manga (Diwani mlangarini, Arusha. CCM),
Papaking (Mmiliki wa The blue triple'A' na mkereketwa wa CCM) na
Cheusii (Mfanyabiashara mashuhuri wa Arusha)
 
CHADEMA wako very strategic! M4C ni kiama kwa sisi hem. Daima mbele,wanakanda ya ziwa shime tuweni pamoja kuikomboa nchi yetu! Hongera sana Humprey na timu yako"
 
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,m4c itawanyuka magamba mpaka wajiny.....e
 
mbona kila mara nachengana na tukio hili wakati wanazindua Arusha nilikuwa dar, then walipokuja dar mie nikawa mza sasa wamenakuja mza mie nimejikuta nimehamia arusha. But pamoja na yote M4C nipo pamoja nayo kama mwili na roho yangu
 
Nawatakia kila la heri wana mwanza, we need changes in our loved nation. M4c iende mpaka vijijini kote kanda ya ziwa na Tanzania kiujumla!
 
At night? what safety assurance will be given to members after they have left the scene????

this is to be noted by Rwakatale and his team, otherwise wishing you all the best. In fact my passions are with those in commitments for a changed Tanzania, Tanzania which is free from poverty and claims of bribery, hypocrisy ...
 
Kibari mnacho cha kukusanyia pesa za walala hoi? Na je hizo zinatunzwa nanani mbowe slaa au ni kwa gavana wenu mstafu maake mchaga kwa pesa bwana acha kabisa, watu wanahitaji sera nyinyi mnawaletea michango jamani kweli hapa kuna ukombozi au kuna ukombaji?
 
Back
Top Bottom