Recent content by Kana Amuchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jirani Yetu Mtata Sana

    naONA BAADHI YA WACHANGIAJI HAPA HAWAJAELEWA HUYU AMEANDIKA NINI!! Alichoandika hapa ni kuwaomba jirani zake waongeze kelele wakati wa kufanya majamboz. kwa sababu wao wakianza na yeye anapiga punyeto kwa mzuka wa sauti zao. sasa siku hii sauti zilikuwa chini sana akalazimika kuweka kikombe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Birthday ya diamond demage hoteli ni kiboko

    muziki wa bongo ni kama hii big g ninayomung'unya hapa sasa hivi. baada ya muda nitaitema mbali. huyu Dogo kawekeza wapi? anajirusha tu na madem wabongo anadhani yeye ni wa kwanza kwao?? tutamuona siku si nyingi. jana tu kuna mwingine ambaye alikuwa akitesa na mwenzake leo naambiwa kakamata...
  3. K

    JamiiForums Tanzania University of Dodoma - Photos !

    the truth is kazi ya ujenzi ilianza wakati wa Mkapa ila yeye kamalizia. tunamsifu kwa kumalizia. angeweza kutumia hizo hela kwa safari za nje kama alivyofanya kwa miradi mingine. so hongera JK .
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo na sifa ya ushombeshombe!

    nakumbuka wakati tuko wadogo kuna wimbo tulikuwa tukiwaimbia hao mashombeshombe hasa hawa wanaokaa uswahilini: Mwarabu koko ko anakula ukoko!! ilikuwa inawakera hadi wanakimbia wakituona anga zao, na mipira yetu ya chandimu au manati yetu shingoni. kutupiga hawawezi maana tulikuwa wababe na full...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwaito Kwenda Mbele . . .

    mnacheza jaiving mnaita kwaito? kwaito kamwangalie yule jamaa wa Hakunaga.
  6. K

    JamiiForums Tanzania The best photoz ever....zina maana kubwa sana....

    sowing seeds of Revolution.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Umeihujumu CCM Arumeru?

    Avanti, wafuasi wa ccm wasingeamini maana hakuna kiongozi wa chadema aliongozana na polisi jana kukamata vijana wa ccm na kuwaweka ndani. usidhani wana ccm ni vilaza wote. kwanza ndio waliopiga kura za kumfanya Nasari ashinde. Wangewaacha polisi na huyo ambaye angekataa matokeo wakaenda zao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Live on star TV mtazamo baada ya matokeo ya Arumeru

    Jambo nililijifunza katika uchaguzi huu na ambalo lilijitokeza pia wakati wa uchaguzi mkuu ni kuwa vyombo vya dola vijipange vizuri na viache kuwa na wasiwasi usiokuwa na sababu. vurugu nyingi zimekuwa zikitokea wakati wa kuhesabu kura au kutangaza matokeo ambayo tayari watu wanakuwa wanayo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa uchaguzi Arumeru anastahili

    Kagenzi aliishi na Tarime na akajifunza tabia ya kutopindisha mambo, jambo ambalo wengi wetu tuliowahi kufanya kazi huko tumejifunza pia. kule mbwai mbwai! kijiko ni kijiko na sepetu ni sepetu!! kama hutaki sio juu yao. Sasa sijui na huku pia watamzushia kesi sijui wampeleke wapi!? niliwaambia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vituko vya kp

    alex kipanya ni habari nyingine. infact ni mmoja wa wachora katuni waliopeleka katuni katika level ya juu iliyopo sasa. kumbuka kipindi cha uchaguzi wa ubunge temeke kati yaLyatonga mrema na cisco mtiro. alichangia sana ccm kushindwa, na pia akaja akaanza kuwabana viongozi waDar kipindi kile...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Elezea hii photo ulivyoelewa ufikishe ujmbe kwa wengine

    remebering that you are going to die is the best way to avoid the trap of thinking that you have something to lose
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sleeping poshoooz vs oncall poshoooz...cheki mwenyewe!

    rekebisha: dr akiwa call ni masaa 24 waakti Mbunge anakuwa anasinzia mjengoni maximum amsaa 8 tu baada ya hapo wanaenda chakonichako kujivinjari na wanafunzii na wasanii wa movie za bongo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Marco Tibasima

    Marco yuko dar ingawa siku hizi ameachanana magazeti navijarida. yeye na mwenzake Ndunguru wameingia katika kampeni za ukimwi na miradi ya wamarekani. kama mnafahamu Uzikwasa ( wale waPangani) ubongo uliohusika pale ni wa huyu jamaa. Tibasima na ofisi pale karibu na Biafra ( na anaishi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dj Steve B Vs Dj JD

    nadhani mjadala huu unafanywa na watu ambao hawakuweppo wakati akina DJ JD wako active kwenye fani. hao mnaowataja siku hizi sioni umahiri wao. ukitaka kuhakikisha hilo angalia kwenye hizo radio station zenu na tv. utagundua kuwa kila alikopita JD na wenzake wa kizazi chake ( kina Rankim, fast...
  15. K

    JamiiForums Tanzania NBC yachangia kituo cha afya cha Mt. Benedict Kitunda, Dar

    we acha masihara lizombe Kitunda? Ritungu hilo!! huoni shingo zilivyokaa?
Back
Top Bottom