Elezea hii photo ulivyoelewa ufikishe ujmbe kwa wengine

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Si mchezo
 

Attachments

  • a pic worthes a millions word.jpg
    a pic worthes a millions word.jpg
    23.9 KB · Views: 450
kila mmoja ataonja mauti awe tajiri au maskini lakini cku ya kifo wote tunarudi mavumbini na huzikwi na chochote, umaskini na utajiri tunaviacha duniani.
 
Living is one thing and death is a completely damn another thing,In that case hapo Tajiri ndo mjanja
 
Kazi ipo,kama kila mtu angekuwa analifikiria hilo hata madaktari wetu wangekuwa wanakula BATA kiulaini?
 
Ila si kwamba wote matajiri ni wa motoni!!!
Kufa tutakufa wote ila mbinguni inategemea na mtu kaishije!
 
Ee bwana weee duniani uishi kwa shida na uendako hukujui, afadhali niishi kwa raha baadae nitakaopo expire tutaelewana huko huko mbele kwa mbele.

After all hakuna aliyewahi kwenda na kurudi kuhadithia.
 
remebering that you are going to die is the best way to avoid the trap of thinking that you have something to lose
 
Hapa duniani kuna utofauti wa kimaisha na kipato kati ya mtu na mtu lakini mbinguni binadamu wote tutakuwa sawa hakutakuwa na maskini sote tutakuwa matajiri japo inahitaji maandalizi hapahapa duniani ili kuurithi ufalme wa mbinguni, nadhani nimesomeka jamani.
 
Back
Top Bottom