Marco Tibasima

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
hivi huyu jamaaa yuko wapi???? Alifanya kazi gazet la sani.. Kipindi kile hadithi ya kina Ole, na wengineo nimewasahau.. Tukumbushane wadau
 
Labda atakuwa amechukuliwa na kale kaugonjwa ketu kalikokaa sehemu ile ya katikati ya miguu. Unajua waandishi wa Sani walikuwa wanatuchapia sana dada zetu na viposho vyao vya kuchora katuni. Acha wafe tu.
 
Ha ha ha ha ha ha.... We mwita ni hatari sana wewe... Duhhh
 
Labda atakuwa amechukuliwa na kale kaugonjwa ketu kalikokaa sehemu ile ya katikati ya miguu. Unajua waandishi wa Sani walikuwa wanatuchapia sana dada zetu na viposho vyao vya kuchora katuni. Acha wafe tu.
Acha kuwaombea watu mabaya wewe jamaa yuko na watu wa TWAWEZA or TUNAWEZA anapiga mzigo kama kawaida
 
hivi huyu jamaaa yuko wapi???? Alifanya kazi gazet la sani.. Kipindi kile hadithi ya kina Ole, na wengineo nimewasahau.. Tukumbushane wadau

Kama alichorea Sani basi atakua anafahamiana na mchoraji mwengine wa Sani wa enzi hizo Chris Katembo ambae kwa sasa yupo Gazeti la Mwananchi,
Vizia gazeti la Mwananchi la Jumamosi au Jumapili kwenye katuni za Chris Katembo utaona namba yake, mpigie ubahatishe!!
Ni mzunguko kidogo but atafutae hachoki mkuu!!
 
you are very right mkubwa, im gonna mke a follow up
 
Nilianza kuona kazi za Marco Tibasima kwenye Msanii Afrika la Sahara Communications (RFA, Star TV) wakati huo likiwa ni Jarida Kabisa na si gazeti. Alikuwa na mwenzake Oscar Makoye (Tolu). Baadaye akahamia jarida la Ambha la Amri Mbwana Makata Bhawji. Baadaye Sani. Baadaye akapotea... sijui kaenda wapi?!!

NB.
Amri Mbwana Makata Bhawji (nadhani jina Ambha limetokana na Majina yake) ni mdogo wa aliyekuwa mwandishi wa riwaya za Sani Said Mbwana Makata Bhawji. Saidi ndiye mwandishi wa hadithi murua ya Sani iliyoitwa "Maji Mazito" ikiwa na characters akina Omar Kisila (Ommy Kiss), Vicky, Kapuko wa Kapuko a.ka. Maji Mazito. Hakuna wakati ambapo Sani (Jarida) lilikuwa na nguvu kama wakati wa Said Bhawji. Kipindi hicho John Mathias Kaduma (aka Fogasta, aka John Black aka Baba Jack, aka Mmachinga (Moh'd Hussein) "Samba Msele" alikuwa mchoraji mkuu wa Sani. Binafsi sijaona mchoraji aliyekuwa mahiri, nguli na mweledi kama John Kaduma. Never ever. Never. Kaduma ameinfluence sana uchoraji unaoendelea Tanzania kwa sasa. Kuna katuni nikiziona nagundua zimeiba idea fulani ya Kaduma au mchoro wake wa zamani. Mfano "Visa vya Baba Ubaya" anavyochora Issa Lupembe (Dr. Levy) ni initiative ya Kaduma wakati huio akichorea jarida la Kiu kabla ya kufanywa kuwa gazeti la kawaida. Kama sijakosea Kaduma ndiye aliyekuwa anachora kijitabu cha "Visa vya Panga la Shaba." Those Days!!
 
Marco yuko dar ingawa siku hizi ameachanana magazeti navijarida. yeye na mwenzake Ndunguru wameingia katika kampeni za ukimwi na miradi ya wamarekani. kama mnafahamu Uzikwasa ( wale waPangani) ubongo uliohusika pale ni wa huyu jamaa. Tibasima na ofisi pale karibu na Biafra ( na anaishi mitaa hiyo naamini). Posters nyingi za miradi ya PEPFAR namichoro kwenye machapishoyao mengi zimefanywa naye.
 
km ckosei jamaa amefariki, alikuwa anachora jarida ITABIDI NICHEKE cha kituo kuleana

Wang'wa faza nikurebishe kidogo Marco aka Wocka hajafa na yuko hapahapa jijini mtaa wa nyuma ya Pazi bar kinondoni na amefungua kampuni yake kitambo inaitwa TAI (Tibasima Art Investment) na anapiga bao vibaya mno tu.. Kingine jarida la Itakubidi Ucheke halikuwa mali ya Kuleana ilikuwa initiative yake kwa ajili ya kuRun ofisi na kulipa watu posho pindi kazi zinapongua..
 
Nilianza kuona kazi za Marco Tibasima kwenye Msanii Afrika la Sahara Communications (RFA, Star TV) wakati huo likiwa ni Jarida Kabisa na si gazeti. Alikuwa na mwenzake Oscar Makoye (Tolu). Baadaye akahamia jarida la Ambha la Amri Mbwana Makata Bhawji. Baadaye Sani. Baadaye akapotea... sijui kaenda wapi?!!

NB.
Amri Mbwana Makata Bhawji (nadhani jina Ambha limetokana na Majina yake) ni mdogo wa aliyekuwa mwandishi wa riwaya za Sani Said Mbwana Makata Bhawji. Saidi ndiye mwandishi wa hadithi murua ya Sani iliyoitwa "Maji Mazito" ikiwa na characters akina Omar Kisila (Ommy Kiss), Vicky, Kapuko wa Kapuko a.ka. Maji Mazito. Hakuna wakati ambapo Sani (Jarida) lilikuwa na nguvu kama wakati wa Said Bhawji. Kipindi hicho John Mathias Kaduma (aka Fogasta, aka John Black aka Baba Jack, aka Mmachinga (Moh'd Hussein) "Samba Msele" alikuwa mchoraji mkuu wa Sani. Binafsi sijaona mchoraji aliyekuwa mahiri, nguli na mweledi kama John Kaduma. Never ever. Never. Kaduma ameinfluence sana uchoraji unaoendelea Tanzania kwa sasa. Kuna katuni nikiziona nagundua zimeiba idea fulani ya Kaduma au mchoro wake wa zamani. Mfano "Visa vya Baba Ubaya" anavyochora Issa Lupembe (Dr. Levy) ni initiative ya Kaduma wakati huio akichorea jarida la Kiu kabla ya kufanywa kuwa gazeti la kawaida. Kama sijakosea Kaduma ndiye aliyekuwa anachora kijitabu cha "Visa vya Panga la Shaba." Those Days!!

Thanks
 
Back
Top Bottom