MWISHO WA CUF
Kwa kawaida mto unapo elekea kukauka maji hujisogeza zaidi katk mkondo mwembamba, maji machache yakigawanyika nirahisi sana kukauka, mie nawashangaa hawa akina Rashid badala ya kuungana wasaidie uhai wa chama naona wameamua mmoja amwage mboga na mwingine amwage ugali, hapo kweli...