haki sawa kwa wote

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
huu-ndiyo-usafiri-wa-kutoka-mbinga-hadi-kijiji-cha-darpori-kilichopo-mpakani-mwa-tanzania-na-msumbiji-ambapo-mizigo-huwekwa-ndani-na-abiria-kuwekwa-juu-ya-gari-na-wengine-kuningnia-kama.jpg


twatoka wilayani Mbinga twaelekea kijiji cha Darpori kilichopo mpakani mwa nchi za Tanzania na Msumbiji. ni kilometa 82. mia
 
duh! nakumbuka usafiri wa kutoka katesh kwenda basutu huko mkoa wa manyara. dereva wetu samweli enzi hizo. ukikosa basi asubui ni mpaka kesho maana hakuna dereva mwingine anaeweza enda njia hiyo isipokuwa yeye tu.
 
Hivi machimbo ya nadini kule MPEPO yanaendelea? Long time kitambo!!!!!
 
Back
Top Bottom