Vipaji vingine bora uende darasani tu.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
hapa ni huko mbagala kiota kipya msanii akionyesha kipaji chake cha kukalia chupa.
take a closer look
11.jpg
 
Sinywi tena Soda za kwenye chupa wala bia.

Itabidi waanze kutengeneza chupa kubwa mdomoni.
 
Halafu chini kuna tangazo la bia ya NDOVU, Aghhhhh............
 
kazi ni kazi bora mkono uende kinywani, kuliko kuwa mwizi heri kuwa mbunifu.
 
Bora kujiajiri kwa jinsi hiyo kuliko kuwa kibaka, wakakufungia tairi shingoni na kukuchoma moto.
 
Bora kujiajiri kwa jinsi hiyo kuliko kuwa kibaka, wakakufungia tairi shingoni na kukuchoma moto.
Kweli mkuu unasapoti mtu kujiingizia chupa mata.koni mbele ya hadhara wakiwemo watoto! Je mtoto akiiga akaenda kujaribu nyumbani! huoni kuna madhara hapo?
 
akiendelea kukalia hiyo chupa kila siku hiyo chupa itaishilia tumboni ataanza kukalia tena chupa ya bia. Mia
 
huyu anahamasisha mambo ya devid cameroon, hapo anamaanisha kuwa kama chupa ya soda inawezaku.............. je mambo mengine? acheni uoga. ila kama una mtoto anayependa kufanyia zoezi kila anachokiona du, hapo msalie mtume maana balaa lake sijui litaishia wapi.
 
Back
Top Bottom