Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

mkutano wa berlin unasema mipaka yote ya makoloni kwa yanayopakana na maziwa na mitoto na katikati either mtu uwatenganishe na kila nchi ina haki ya kutumia mtu au ziwa liwatenganishe na kila nchi ina haki ya kulitumia kwa hyo mpaka ni kati kati ya ziwa kama hamwelewi refer to berlin conference agreement. hizo mipaka ya kushindwa vitani of cause ni ya kionevu kwa sabab mjerumani baada ya kushindwa anaporwa makoloni yake
 
Tusipo angalia kwa hili tunawea kupokonywa mali zetu na waafrica wenzetu.maana wazungu wamesha tupora vya kutosha kabisa
 
Hii ni ramani ingine kwa uwazi zaidi.

mwcolor.268232504_std.gif

Richard ramani zako haionyeshi mpaka bado, kwanini mpaka ukifika ziwani unapotea? je umepita katikati ya ziwa au upande wa mashariki wa ziwa Nyasa hebu tafuta Ramani nyingine inayoonyesha mpaka halisi inaonyesha kabisa tumezubaa au kujisahau mpaka wachoraji wa mipaka wameonyesha Ziwa Nyasa lote ni la Malawi kasoro kwa sehemu ya katikati imeenda nusu Msumbiji, lakini visiwa vya Chimuzu, na Likoma licha ya kuwa Msumbiji bado vinatawaliwa na Malawi
hebu fuatilia hii link au Bofya Category:Maps of Malawi - Wikimedia Commons


 
Leo nimejua kwanini bila nyerere pengine tungebakiwa na mbagala tu, kumbe wameshawahi kutu test na ticha akajibu kijeshi wakatulia. Wameona udhaifu ndomana trip hii wamemuwai mr smile na vile prez da wao dada duh kazi ipo
 
cha msingi tuongeze ulinzi wa watanzania na mali zao hapo mpakani tuache kupiga makeleele tufanye kwavitendo,km tulimuweza id amini,km tulipambana msumbiji tutashindwa na malawi?
 
habari za vijiweni ni kwamba Banda alikuwa doctor wa malkia, so alifanywa hanidhi ili asimlambe malkia. Na hiyo malawi anayo sema alipewa kama zawadi tu. mia
 
mkutano wa berlin unasema mipaka yote ya makoloni kwa yanayopakana na maziwa na mitoto na katikati either mtu uwatenganishe na kila nchi ina haki ya kutumia mtu au ziwa liwatenganishe na kila nchi ina haki ya kulitumia kwa hyo mpaka ni kati kati ya ziwa kama hamwelewi refer to berlin conference agreement. hizo mipaka ya kushindwa vitani of cause ni ya kionevu kwa sabab mjerumani baada ya kushindwa anaporwa makoloni yake

An in fact Article 1 ya berlin conference inaonyesha kuwa sehemu Ziwa tanganyika na Ziwa Nyasa pamoja na mito ya Kokongo, Zamabezi Niger ni free trade areas ambazo hazikuwa chini ya himaya ya power yoyote.
 
Kuhusu tatizo hili Tanzania tujikite katika kuangalia International Convention on littoral waters kwa sababu it is in our favor. Malawi has no basis to the claims that the whole lake Nyasa/Malawi according to the said convention. in addition the British violated the Anglo-German treaty of 1885 which had the boundary of the lake running in the middle and not what Malawi and the prophets of doom want to be!! This could be the reasons why the Chief in Command seems so cool.
 
kwa nini sisi Waafrika hatuna kilicho chetu?? Msimamo wa mwalimu umoja wa mataifa ulikuwa kama nchi huru hatufungwi na mikataba wala mipaka waliyoweka kwa masilahi yao, dhamira zao, mipango yao ya unyonyaji na unyanyasaji raia wetu...scramble for afrika ndio baadhi ya matokeo yake haya...ni kweli wakati wa banda na mwalimu jambo hili lilikuwa na sura tofauti, lakini hata sasa kama katibu Mkuu wao katangaza, inalelekea bado ammbo ni yaleyale...swali kuu hapa ni ni lini Waafrika tutakubali kuwa na sisi ni watu wenye utashi,k tunaoweza kufanya maamuzi kuhusu bara letu??

Kuna haja gani kuwa na umoja wa afrika na mijumuiko mingine isiyo na maamuzi hata juu ya mambo ya msingi kama haya?? Mpaka lini tutasubiri kusema wakoloni walifanya, hatujabadili?? hawa wakaoloni wao wanapata wapi jeuri hiyo ambayo sisi hatuna katika nchi zetu?? Hili liwe ziwa nyasa au malawi, yote ni ya afrika, yote yanagusa tanzania na malawi na nchi zingine...pia kwa maziwa na maeneo mengine...lini afrika itakaa kuthibitisha mipaka yake??

tuna umoja wa nchi huru za kusini mwa afrika SADC, tuna jumuiya afrika mashariki, tuna umoja wa afrika...zote haziwezi mpaka wawekezaji - aka wakoloni - waje watusaidie??

it is time Africa stood to its ideal, values and foundations of africannes...to determine its destiny...LONG WALK TO FREEDOM!!!
 
Chadema na Mipaka mbona hakuna uhusiano, Vp kuhusu magamba wanaouza migodi na nyara za taifa wkt wanafunzi wanakaa chini tuache masuala ya chama kwenye hoja za msingi
 
It is high time african leaders on behalf of African people wanakaa na kukubaliana juu ya mipaka ya nchi zao bila kutegemea watu kutoka nje kufanya maamuzi hayo kwa niaba yao. tusipolitatua hili ktk zama hizi za scramble for resources tunakalia kuti kavu.
 
LAKE NYASA(LAKE MALAWI)

​
A. LOCATION

· Niassa, Mozambique; Malawi; andRuvuma, Tanzania.
· 9:30-14:30S, 34:51-34:57E; 500 mabove sea level.
​
B. DESCRIPTION

Lake Nyasa is the most southerly of the great African RiftValley lakes. It is about 560 km long and has a greatest width of about 75 km.In contrast with Lake Tanganyika, it consists of a single basin with greatestdepth of about 706 m near the western shore about 45 km north of Nkhata Bay. Itlies between 9:30-and 14:30S at an altitude of about 500 m in a tropicalclimate. However it lies far enough south of the equator to experience markedseasonal variations in wind, temperature and precipitation.
The lake occupies part of the southern end of the RiftValley system and is to a large extent delimited by faults, particularly to thenorth and on the eastern coast. In these areas the shores are steep and depthsin excess of 200 m are found close inshore. At the southern extremity and alongthe southern half of the west coast the shoreline is more gently shelving. Fromhere the bottom rises gradually to north and south and, except for a ridge some20 m high at 10:25S, there is no trace of separate basins as in LakeTanganyika. In further contrast to Lake Tanganyika, where a depth of 200 m isfound within 20 km of the southern extremity of the lake, in Lake Nyasa such adepth is not encountered within 110 km of the southern end (8, 1).
​
C. PHYSICAL DIMENSIONS (Q)

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 250"]
[TR]
[TD]
Surface area [km[SUP]2[/SUP]]​
[/TD]
[TD]
6,400​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Volume [km[SUP]3[/SUP]]​
[/TD]
[TD]
8400​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Maximum depth [m]​
[/TD]
[TD]
706 (2)​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Mean depth [m]​
[/TD]
[TD]
292​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Water level​
[/TD]
[TD]
Regulated​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Normal range of annual water level fluctuation [m]​
[/TD]
[TD]
0.7-1.8​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Length of shoreline [km]​
[/TD]
[TD]
245​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Catchment area [km[SUP]2[/SUP]]​
[/TD]
[TD]
6,593​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​
D. PHYSIOGRAPHIC FEATURES

D1 GEOGRAPHICAL (Q)
· Bathymetric map: Fig. AFR-13-01.
· Number of outflowing rivers andchannels (name): 1 (Shire R.).
D2 CLIMATIC
· Climatic data at Metangula Meantemp. [deg C]: Annual mean temperature 27-28*. * For 3 years.
· Number of hours of bright sunshine(Tete, 1972): 2,860 hr yr[SUP]-1[/SUP] (3).
· Water temperature [deg C](8, 1)Annual mean 25* (cf. Fig. AFR-13-02 and 03). * For 2 years.
· Freezing period: None.
​

E. LAKE WATER QUALITY


E1 TRANSPARENCY [m](Q)
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 250"]
[TR]
[TD="colspan: 13"]
Metangula​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
Jan​
[/TD]
[TD]
Feb​
[/TD]
[TD]
Mar​
[/TD]
[TD]
Apr​
[/TD]
[TD]
May​
[/TD]
[TD]
Jun​
[/TD]
[TD]
Jul​
[/TD]
[TD]
Aug​
[/TD]
[TD]
Sep​
[/TD]
[TD]
Oct​
[/TD]
[TD]
Nov​
[/TD]
[TD]
Dec​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Depth [m]​
[/TD]
[TD]
13​
[/TD]
[TD]
14​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
13​
[/TD]
[TD]
13​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
23​
[/TD]
[TD]
16​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
E4 DO [mg l[SUP]-1[/SUP]]
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 250"]
[TR]
[TD="colspan: 13"]
Metangula for 1 year​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Depth [m]​
[/TD]
[TD]
Jan​
[/TD]
[TD]
Feb​
[/TD]
[TD]
Mar​
[/TD]
[TD]
Apr​
[/TD]
[TD]
May​
[/TD]
[TD]
Jun​
[/TD]
[TD]
Jul​
[/TD]
[TD]
Aug​
[/TD]
[TD]
Sep​
[/TD]
[TD]
Oct​
[/TD]
[TD]
Nov​
[/TD]
[TD]
Dec​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
0-100​
[/TD]
[TD]
7​
[/TD]
[TD]
8​
[/TD]
[TD]
8​
[/TD]
[TD]
7​
[/TD]
[TD]
8​
[/TD]
[TD]
7​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
8​
[/TD]
[TD]
7​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
200​
[/TD]
[TD]
5​
[/TD]
[TD]
5​
[/TD]
[TD]
6​
[/TD]
[TD]
5​
[/TD]
[TD]
5​
[/TD]
[TD]
6​
[/TD]
[TD]
5​
[/TD]
[TD]
5​
[/TD]
[TD]
6​
[/TD]
[TD]
6​
[/TD]
[TD]
6​
[/TD]
[TD]
5​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
>200 ​
[/TD]
[TD="colspan: 12"]
Anoxic conditions.​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
E6 CHLOROPHYLL CONCENTRATION [micro g l[SUP]-1[/SUP]](Q)
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 250"]
[TR]
[TD="colspan: 13"]
Metangula​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Depth [m]​
[/TD]
[TD]
Jan​
[/TD]
[TD]
Feb​
[/TD]
[TD]
Mar​
[/TD]
[TD]
Apr​
[/TD]
[TD]
May​
[/TD]
[TD]
Jun​
[/TD]
[TD]
Jul​
[/TD]
[TD]
Aug​
[/TD]
[TD]
Sep​
[/TD]
[TD]
Oct​
[/TD]
[TD]
Nov​
[/TD]
[TD]
Dec​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
10​
[/TD]
[TD]
0.25​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
0.6​
[/TD]
[TD]
0.7​
[/TD]
[TD]
0.65​
[/TD]
[TD]
1.3​
[/TD]
[TD]
1.0​
[/TD]
[TD]
1.2​
[/TD]
[TD]
0.25​
[/TD]
[TD]
0.2​
[/TD]
[TD]
0.2​
[/TD]
[TD]
0.5​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
50​
[/TD]
[TD]
1.5​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
0.5​
[/TD]
[TD]
0.55​
[/TD]
[TD]
0.7​
[/TD]
[TD]
0.5​
[/TD]
[TD]
0.6​
[/TD]
[TD]
0.5​
[/TD]
[TD]
0.35​
[/TD]
[TD]
0.5​
[/TD]
[TD]
0.1​
[/TD]
[TD]
0.7​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​
F. BIOLOGICAL FEATURES (Q)

F1 FLORA
· Emerged macrophytes:
Phragmites mauritianus.

F2 FAUNA
· Zooplankton
Mesocyclops leuckarti, Diaphanosoma excisum, Bosmina longirostris, Diaptomussp.

· Fish
Varicorthinus nyassensis, Labeo mesops, Opsaridium microcephalus, Bagrusmeridionalis, Bathyclarias sp., Oreochromis squamipinnis, O. shirana, O.saka, Tilapia redalli, Haplochromis kiwinge, H. livingstonii, H. taeniolatus, H.phenochilus, Lethrinops sp., Pseudotropheus sp., Labidochromissp., Labeotropheus sp., Serranochromis thumbergi, Rhamphochromissp.

F5 FISHERY PRODUCTS
· Annual fish catch [metric tons]1983: 9,000*1 (Q). 1971: 21,000*2 (1). *1 Mozambique side only. *2 In total.
​
G. SOCIO-ECONOMIC CONDITIONS (Q)

G1 LAND USE IN THE CATCHMENT AREA
· Main kinds of crops: Cassava, maize.
· Levels of fertilizer application oncrop field: None.
G2 INDUSTRIES IN THE CATCHMENT AREA AND THELAKE
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 250"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
Gross product per year​
[/TD]
[TD]
No. of persons engaged​
[/TD]
[TD]
No. of establishments​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Primary industry​
[/TD]
[TD]
N.A.​
[/TD]
[TD]
N.A.​
[/TD]
[TD]
N.A.​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Secondary industry​
[/TD]
[TD]
N.A.​
[/TD]
[TD]
N.A.​
[/TD]
[TD]
N.A.​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Others​
[/TD]
[TD]
N.A.​
[/TD]
[TD]
3,000​
[/TD]
[TD]
3​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
· Numbers of domestic animals in thecatchment area: No information.
G3 POPULATION IN THE CATCHMENT AREA
No information.
​
H. LAKE UTILIZATION (Q)

H1 LAKE UTILIZATION
Source of water, navigation and transportation, sight-seeingand tourism and fisheries.
H2 THE LAKE AS WATER RESOURCE: No information.
​
I. DETERIORATION OF LAKEENVIRONMENTS AND HAZARDS (Q)

I1 ENHANCED SILTATION
· Extent of damage:
None.

I2 TOXIC CONTAMINATION
· Present status: None.
I3 EUTROPHICATION
No eutrophication.
I4 ACIDIFICATION
· Extent of damage:
None.

​
J. WASTEWATER TREATMENTS (Q)

J1 GENERATION OF POLLUTANTS IN THE CATCHMENTAREA
(a)No major human settle ments or activities producingsignificant pollution.
J2 APPROXIMATE PERCENTAGE DISTRIBUTIONS OFPOLLUTANT LOADS
Non-point sources: 100%.
J3 SANITARY FACILITIES AND SEWERAGE
· Percentage of municipal populationin the catchment area provided with adequate sanitary facilities (on-sitetreatment systems) public sewerage: 0.5- 1%.
· Percentage of rural population withadequate sanitary facilities (on-site treatment systems): 0.
​
L. DEVELOPMENT PLANS

There is a plan for a small fisheries enterprise and navybases in Metangula.
​
M. LEGISLATIVE AND INSTITUTIONALMEASURES FOR UPGRADING LAKE ENVIRONMENTS (Q)

M2 INSTITUTIONAL MEASURES (the year ofestablishment)
1. Fisheries Research Institute with aResearch Office in Metangula (1980)

M3 RESEARCH INSTITUTES ENGAGED IN THE LAKEENVIRONMENT STUDIES
1. Fisheries Research Institute

N. SOURCES OFDATA

Questionnaire filled by Dr. A. V. R. Massinga, FisheriesResearch Institute, Maputo, Mozambique.
1. Eccles, D. H. (1974) An outline ofthe physical limnology of Lake Malawi (Lake Nyasa), Limnol. Oceanogr., 19:730-743.
2. Herdendorf, C. E. (1982) FeatureArticle, Large lakes of the world. J. Great Lakes Res., 8 (3): 379-412.
3. Griffiths, J. F. (1972) Mozambique."World Surveys of Climatology, Volume 10, Climate of Africa" (ed.Griffiths, J. F.), p. 404. Elsevier Scientific Publishing Company, Amsterdam,London, New York.




 
Kwa hiyo kutokana na kipande hiki cha hadithi ni kwamba umiliki ulibadilika baada ya mjerumani kushindwa vita ya dunia na si hiyo heligoland treaty?

Tanzania-Malawi dispute​
The partition of the lake area between Malawi and Tanzania is disputed. Tanzania claims international borders through the lake along the lines of the borders between the German and British territories before 1914; Malawi, meanwhile, claims the whole non-Mozambican lake, including the waters next to the Tanzanian shore. The foundations of the dispute were set when the British colonial government, which had recently captured Tanganyika from Germany, put the water under the jurisdiction of Nyasaland without a separate administration for the Tanganyika portion. The dispute has led to conflicts in the past, though for several years Malawi has declined to enforce its claims to the disputed portion.

Occasional flare-ups in in the 1990s and in recent times have impacted fishing rights, particularly of Tanzanian's who reside on the lake shore, who have occasionally been accused of fishing in Malawian waters.
 
Nyerere aliwauliza, kama mpaka upo katika pwani ya Tanzania ya ziwa, na kina cha ziwa kinabadilika kila siku, kwa hiyo maana yake mpaka huu unabadilika kila siku?

Sijaona jibu la hili swali mpaka leo.
 
kwakifupi sana nashukuru kwa wachangiaji waliotangulia, wametoa maoni na hadi kwa vielelezo vya ramani, vinaeleka sana, yangu ni haya, nikianzia mwanzo kabisa maelezo ya awali yanapotosha kwasababu yanatoa uhalali wa wamalawi kuchukua nziwa eti tu kwasababu linaitwa malawi, kwani tanzania bara kwa asili inaitwaje kama siyo tanganyika? je hilo peke yake linatosha kumiliki ziwa tanganyika peke yetu? haiwezekani hata kidogo, by the way suala hili lipo kisheria zaidi, sheria mpya ya mipaka ya maji inasemaje? inasema mpaka utakuwa ktkt ya that main water bodies. ngd zangu mi nadhani huyu mama ameshindwa, hakunasababu ya kupigana ila atafutiwe mbadala, watu sasa wanatafuta maendeleo eti sisi tulio masikini tunajadiliana ni vipi tupigane
 
[h=3][/h]


​

Mgogoro huo ulianza enzi ya Kamuzu Banda alipokuwa raisi. miaka ya sitini Kamuzu alikuwa anazungumza kwenye redio yao, Malawi Broadcasting Corporation kutoka Blantyre, Malawi, na kusema ziwa lote ni la Malawi na pia wilaya ya Rungwe na hadi Mbeya ni sehemu ya Malawi.

Kuna siku mwezi wa September 1968 Nyerere alimwita Banda ni kichaa. Alikasirika sana kwa sababu ya madai ya Mzee Kamuzu kwamba sehemu za Tanzania ni za Malawi. Alidai hata Mbamba Bay na sehemu zingine mkoani Ruvuma karibu na Ziwa Nyasa kwamba ni za Malawi. Pia alidai jimbo lote, Eastern Province, la Zambia. Kaunda alimjibu Banda na kusema ni shauri yake akitaka kuanzisha vita.

Kabla ya mgogoro huo, Banda alikuja Tanzania na kukutana na Nyerere mwaka 1962 na kumwambia hakuna nchi ya Mozambique. Alimwambia Nyerere wagawane nchi hiyo. Alimwambia Nyerere sehemu ya kaskazini ya Mozambique, sehemu ya Wamakonde jimbo la Cobo Delgado, "ni lako" Nyerere. Ni sehemu ya Tanzania. Sehemu za Mozambique zilizobaki ni za Malawi, Rhodesia na Swaziland. Nyerere alimpuuza tu.

Baada ya miaka michache, 1968, Kamuzu akatangaza na kusema sehemu zetu za Tanzania nilizozitaja hapo juu ni sehemu za Malawi.

Mzee Kamuzu alikuwa ni mkorofi sana.

CHANZO CHA MGOGORO

Mgogoro wa ziwa umetokana na uamuzi wa wakoloni wa Kiingereza kuliweka ziwa hilo chini ya utawala wao wa Nyasaland wakati walipokuwa wanatawala nchi hiyo na ilipokuwa ni British Protectorate. Walifanya uamuzi huo baada ya Wajerumani kushindwa katika vita kuu ya kwanza na Waingereza walipoichukua German East Afrika - iliyokuwa inaitwa Deutsch Ostafrika katika Kijerumani - na kuwa koloni yao ya Tanganyika. Kabla ya hapo, kutokana na makubaliano kati ya Waingereza waliokuwa watawala wa Nyasaland na Wajerumani waliokuwa watawala wa nchi yetu, mpaka wa ziwa ulikuwa kati ya ziwa. Na ndiyo mpaka huo tu ambao ni halali pamoja na jina kuitwa Nyasa, siyo Malawi.

Uamuzi wa Waingereza kuliweka ziwa hilo chini ya utawala wao Nyasaland haukubadilisha mpaka wa ziwa kihalali kwa sababu mipaka yote ya nchi zetu ilikubaliwa wakati bara letu lilipogawanywa na wakoloni. Ni mipaka hiyo ambayo hata sisi tuliikubali baada ya kupata uhuru na hakuna hata nchi moja ambayo ina haki peke yake ya kubadilisha mipaka hiyo. Hata Waingereza hawakuwa na haki ya kulikiweka Ziwa Nyasa chini ya ukoloni wao Nyasaland kwa sababu walivunja makubaliano yao na Wajerumani ambayo yalisema mpaka wa ziwa ni kati ya ziwa hilo: nusu ni sehemu ya Deutsch Ostafrika ambayo sasa ni Tanganyika, na nusu nyingine ni ya Nyasaland chini ya utawala wa Waingereza.

Hata wilaya ya Rungwe ambayo ilijumuisha Kyela na Ileje ilikuwa inatawaliwa kutoka Nyasaland mara tu baada ya Wajerumani kushindwa vita kuu ya kwanza na Waingereza walipopewa madaraka ya kutawala nchi ambayo ilikuwa ni koloni ya Wajerumani; yaani nchi yetu ya Tanganyika.

Deutsch Ostafrika - German East Africa - ilikuwa ni nchi tatu: Tanganyika, Ruanda na Urundi (nchi ambazo zilibadili majina na kuitwa Rwanda na Burundi mwaka 1962 baada ya kupata uhuru).

League of Nations - jumuiya ya mataifa iliyoitangulia United Nations - iliwapa Wabeligiji Ruanda na Urundi. Koloni hizo mbili za Wabeligiji zilikuwa zinatawaliwa kutoka Leopoldville, mjii mkuu wa Belgian Congo, nchi ambayo pia ilikuwa inatawaliwa na Wabeligiji. Mpango huo ni kama vile wilaya ya Rungwe ilipowahi kutawaliwa kutoka Karonga na Waingereza waliokuwa wanatawala wa Nyasaland na baadaye kiuchukua nchi yetu ya Tanganyika kutoka kwa Wajerumani.

Baada ya vita kuu ya kwanza, na Wajerumani kushindwa vita hiyo, waziri mkuu wa Uingereza, Lloyd George, kwenye mkutano wa League of Nations alimwambia raisi wa USA, Woodrow Wilosn, kwamba aichukue German East Africa, yaani nchi yetu, na kuiweka chini ya utawala wa Merikani baada ya Wajerumani kuipoteza nchi hiyo katika vita kuu ya kwanza. Lakini President Wilson alikataa. Angekubali, nchi yetu ingetawaliwa na USA na tungekuwa koloni ya USA. Baada ya Rais Wilson kukataa kuichukua nchi yetu, Lloyd George akakubali na kusema ataichukua Tanganyika na kuiweka chini ya utawala wa nchi yake ya Uingereza. Tuliponea chupuchupu kuchukuliwa na Wamerika. Nchi yetu ingechukuliwa na Wamerika, labda tusingepata uhuru. Wamerika wangeing'ang'ania nchi yetu kama vile walivyo ng'ang'ania nchi zingine walizochukua bila kuzipa uhuru.

Kuhusu Ziwa Nyasa, kwa kifupi ni kwamba mpaka halali uko kati ya Ziwa. Ni mpaka ambao Wajerumani na Waingereza walikubaliana kuzigawa koloni zao: Nyasaland kuwa ya Waingereza; nchi yetu, Deutsh Ostafrika, kuwa ni ya Wajerumani. Walikubaliana kwamba mpaka wa ziwa ni kati ya ziwa hilo. Upande mmoja tu, Waingereza, hawakuwa na haki ya kubadili mpaka kati ya Tanganyika na Nyasaland walipolikweka ziwa hilo chini ya utawala wao Nyasaland.

Nukuru kutoka kitabu cha Nyerere and Africa: End of an Era, ukurasa 484:

"Dr. Banda also claimed substantial parts of Tanzania, including - Rungwe district - and the rest of Mbeya Region in southwestern Tanzania, as Malawian territory. He also claimed the entire Eastern Province of Zambia, provoking a curt response from Zambia’s president, Dr. Kenneth Kaunda, who challenged Banda to 'Go ahead and declare war on Zambia.'

And President Nyerere dismissed Banda’s claim to large chunks of Tanzanian territory as 'expansionist outbursts, which do not scare us, and do not deserve my reply.' The outlandish claim also drew a sharp response from Nyerere who said Dr. Banda was 'insane.' But, he warned, 'Dr. Banda must not be ignored; the powers behind him are not insane.'"


Akizungumza ktk chuo kikuu cha Dar es Salaam, November 1997, Mwalimu Nyerere alisema

"In 1961 we became independent. In 1962, early 1962, I resigned as prime minister and then a few weeks later I received Dr. Banda. Mungu amuweke mahali pema (May God rest his soul in peace). I received Dr. Banda. We had just, FRELIMO had just been established here and we were now in the process of starting the armed struggle.

So Banda comes to me with a big old book, with lots and lots of maps in it, and tells me, 'Mwalimu, what is this, what is Mozambique? There is no such thing as Mozambique.' I said, 'What do you mean there is no such thing as Mozambique?' So he showed me this map, and he said: 'That part is part of Nyasaland (it was still Nyasaland, not Malawi, at that time). That part is part of Southern Rhodesia, that part is Swaziland, and this part, which is the northern part, Makonde part, that is YOUR part.'

So Banda disposed of Mozambique just like that. I ridiculed the idea, and Banda never liked anybody to ridicule his ideas. So he left and went to Lisbon to talk to Salazar about this wonderful idea. I don’t know what Salazar told him. That was ‘62."
​


Chanzo: Mabadiliko forum​
 
Whoever in Malawi is claiming the Lake is Kamuzu Banda puppet... should be watched and Educated !!!
 
Wana-JF,

Mgogoro wa mpaka katika Ziwa Nyasa unaonesha ngoma bado mbichi kabisa. Hebu tusome hizi habari kutoka Malawi:

Lake Malawi/Nyasa row: Time to show strong leadership
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] By Cedrick Ngalande
[/TD]
[TD] August 6, 2012
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
At around the time of independence quite a few people in Tanzania wanted to claim a huge part of Lake Malawi or Lake Nyasa . Cool heads eventually prevailed, as most Tanzanians, including the legendary President Julius Nyerere, understood the importance of respecting boundaries emanating from colonial times. During most of Dr Kamuzu Banda’s rule, Tanzania never really pushed this crazy idea of dividing up the lake. The issue was almost forgotten during the rule of Dr Bakili Muluzi and thereafter. In fact, Dr Bingu wa Mutharika commissioned a company to start exploring oil in the lake. Tanzania said nothing at that time. Now we have a new president and all of sudden the Tanzanians are demanding that our government stop all exploration activities in the lake until all border issues have been clarified. Why now? Folks, there is a reason why we have tradition. Tradition may appear useless and outdated but it is important because it usually become established after a long experience. In politics there is what is known as ‘presidential protocol’. These are small things which over the years have proven to be niceties a president must or must not do in order to represent his/her country correctly.
​
Test for President Joyce Banda to diplomatically manage the dispute on the boundary You would think some of them are not important but they are. Here are a few of them – presidents never bow for other presidents in public; presidents never escort anybody to their car; presidents walk with their arms spread outwards apparently projecting power and being in control; presidents usually put on a solid color (one color) necktie because it portrays power; when two presidents greet each other while facing the camera, each of them jostle to be on the right side so that his palm will face the camera- another sign of power, apparently; when in company of other presidents, they try to be the last one to enter the door – a fatherly gesture; there is an interesting video clip of Chairman Yassier Arafat and PM Ehud Barak jostling to be the last one to enter a room at Camp David. The sight of President George W Bush gently pushing PM Gordon Brown into Number 10 Downing Street before himself angered some British political experts. Statesmanship is a game because image is everything in international politics. A country’s image depends a lot on the demeanor of its leader. President Barak Obama likes to pat other leaders on their back after greeting them; you thought that was an unplanned coincidence? Just remember, how your father used to pat you on the back when you were a good boy! It is said that Bill Clinton failed to get a good deal at his summit with Boris Yelsin in Moscow because President Clinton having sprained his ankle arrived in Moscow on a wheelchair. The sight of a sick American president is said to have psychologically emboldened Boris Yelsin. Ghana is said to have regained its respect in West Africa when President J.J. Rawlings arrived at the 25th Organization of African Unity meeting in Togo in July 2000 in a military uniform portraying a very youthful image. The presidency is acted on a world stage. What a president says and does is very important! When Joyce Banda took over the presidency, she made it appear like Malawi will now be doing everything the donor community tells her to do. In fact some British newspapers were so pleasantly surprised with this that they called us ‘a donor fearing nation’. President Joyce Banda went to London and even bowed before Queen Elizabeth, a very strange gesture considering that both are heads-of-state. Well, all these words and actions have now collectively given an image of a weak leadership in Malawi. The world has sensed blood. Now Tanzania has decided it is time to split up the lake. Notice that they did not bring up this crazy idea when Muluzi or Mutharika were in charge. If we dignify Tanzania’s unreasonable request, one wonders what the next thing will be. Are they now going to claim Chitipa? Will Mozambique now claim Mulanje Mountain? Government must make clear that no part of Malawi is up for discussion – full stop! It is time to show strength. Tell Tanzania that Lake Malawi was, is and will always be Malawian. Surprisingly, after all these arrogant statements by the Tanzania government, our government’s response is at best a whimper. The minister of foreign affairs has issued a statement saying the issue will be settled ‘amicably’. Really, Mr. Minister? What could be an amicable statement? Are you planning to even dignify Tanzania’s unreasonable demand? Do you plan to divide up the lake? How can you have an amicable settlement to an
 

Attachments

Back
Top Bottom