Recent content by kamban

  1. kamban

    Tanzania kutengwa na Kenya, Uganda na Rwanda...

    Wakitutenga watakufa njaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kamban

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dawa ya uti sugu iliyofika kwenye figo ni nini
  3. kamban

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dawa ya uti sugu iliyofika kwenye figo ni nini jamani
  4. kamban

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kuna tatizo la internet inakuwa chini muda wote huku Muleba kijiji cha Kakindo sijui tatizo nn au mnataka tutumie hallotel
  5. kamban

    Voda shop Musoma mjini ni majanga tupu huduma mbovu

    Pembeni stand ya zamani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kamban

    Voda shop Musoma mjini ni majanga tupu huduma mbovu

    Kwa kweli voda msipo chukua hatua Kwa voda shop yenu ya Musoma mjini mtakimbiza wateja maana hawana msaada Kwa wateja kuanzia Meneja wa kituo anamajibu mabovu sana na huduma ni mbovu maana hata fomu maana za kujaza mteja unapewa ukatoea copy mwenyewe Nje ya ofisi na kila siku ofisini kwao system...
  7. kamban

    Poverty kills talents in Africa??!

    True man
  8. kamban

    Yawezekana Makonda ameiokoa Yanga isiuzwe, na kutuma salamu vilabu vingine?

    Mtoa mada ujui kama kuna tofauti kubwa kati ya kununua na kukodisha
  9. kamban

    Msaada wa kupata talaka kwa imani ya kiislam kwa mwanamke

    Kwa mujibu wa sheria lazima uanzie baraza la usuluishi na kwa muislam baraza la usuluishi ni bakwata ikishindikana kusuruishwa bakwata watakupa karatasi ya kwenda nayo mahakamani kwa ajili ya kuvunja ndoa na kupewa haki yako ya taraka huo ndio utaratibu kisheria
  10. kamban

    Yanga inyang’anywe point zote kwa kumtumia Kessy - Rage

    Yanga wapokonywe vp Ikiwa Tff wenyewe ndio walimuizinisha mchezaji acheze, tatizo lipo TFF maana kuna siasa za uyanga na usimba
  11. kamban

    Je, Umetozwa nauli kubwa kwenye basi kuliko umbali unaokwenda?

    Dar-mwanza nauli shilingi ngapi mkuu
  12. kamban

    2020 Watajulikana wasanii wanao isaport ccm kweli,na sio kwa maslahi

    Kila mtanzania ana haki ya kulipa kodi kulingana naanachopata, yeye anategemea elimu bure kwa mashabiki wake itapatikana vp
Back
Top Bottom