Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Al-akhdally

Al-akhdally

Member
Joined
Jul 3, 2018
Messages
43
Likes
46
Points
45
Al-akhdally

Al-akhdally

Member
Joined Jul 3, 2018
43 46 45
Dactari habari za saahizi. Samahani sana mi naweza nimawa tofauti kidogo na maada inayo endelea.. Naomba kujuzwa kubusu madhara ya hii faea inayoitwa vumbi la kongo. Nimekua nikiitumia zaidi ya wiki sasa na imenirudishia heshima nyumbani kiukweli. Lkn nna wasiwasi huenda kiafya ikawa na madhara kutokana na kazi ambayo inafanya labda kwa miaka ya mbele huko. So naomba elimu kidogo juu ya madhara yake kwa sasa na kwa baadae... Asante
 
Faea* =dawa. Nimawa*=nikawa. Kubusu*=kuhusu
 
Africa one

Africa one

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
235
Likes
52
Points
45
Africa one

Africa one

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
235 52 45
Msaada:
Nina mtoto ana umri wa miaka saba anasumbuliwa na vipele mwili mzima amejaribu dawa nyingi za hispitalini lkn hazijamsaidia na ana kama miaka miwili sasa vinamsumbia.
Mara nyingi vinakuwa kama chunusi hivi haviwashi wala havitengenezi usaha kama upele wa kawaida lkn vimekuwa haviponi akijatibu kuvikamua vinatoa vidude vyeupe km chunusi na vunakuwa vinatanda mwilini kama ulezi vile, haijalishi ni wakati wa joto au baridi maana mwanzoni nilidhani ni vipele vya joto kwa kuwa nakaa Dar es salaam lkn hata wakati wa baridi vimekuwa tatizo.
Ametumia dawa tofauti tofauti mda mrefu sasa bila mafanikio hadi sasa namuonea hutuma.

Naomba msaada wa tiba au shauri namna ya kufanya hata kama ni kwa daktari unaweza nielekeza kwa hospitalini Amana nimetoka juzi tu nilivyowaonyesha dawa alizowahi kutumia wakasema na wao wangempa hizo hizo ndipo wakanipiga tarehe hadi tarehe 10/10/2018 kumwona Daktari lakni kama kuna mbadala kabla ya tarehe hiyo naomba msaada.
 
Hali halisi ndio hii aliyonayo.
img_20180923_071944-jpg.875353
 
Kungwi Mtoto

Kungwi Mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2018
Messages
818
Likes
754
Points
180
Kungwi Mtoto

Kungwi Mtoto

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2018
818 754 180
Dawa ya maumivu makali ya kiuno nyuma ya mgongo. maeneo ya nyonga kwa mwanaume.. ni makali sana anapafa binamu yangu hadi kaambiwa astop sex kwa muda hadi? apone je atapona lini kwani mke, wake ana muhitaji.. nisaidie please jamani binamu yangu anateseka sana kwa maumivu hayo ...
 
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Messages
1,879
Likes
2,399
Points
280
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2017
1,879 2,399 280
Mtoto ana mwaka mmoja na miezi mitatu hajatembea ni ugonjwa ama vp
 
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
1,309
Likes
492
Points
180
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
1,309 492 180
Dawa za kutibu mapunye au vidonda kichwani (scalps on head). Kuna mtu vinamsumbua.
 
S

shidsoud

New Member
Joined
Sep 30, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
S

shidsoud

New Member
Joined Sep 30, 2018
1 0 3
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Ndeteiyo

Ndeteiyo

Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
45
Likes
8
Points
15
Ndeteiyo

Ndeteiyo

Member
Joined Sep 13, 2016
45 8 15
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga ni sehemu yenye usalama sana
 
occipito-frontalis

occipito-frontalis

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Messages
104
Likes
62
Points
45
occipito-frontalis

occipito-frontalis

Senior Member
Joined May 28, 2017
104 62 45
Kuna dawa yoyote inayotibu nguvu za kiume, na kama ipo mbona bado limekuwa ni janga hasa wanaume wa Dar
 
Forum statistics

Threads 1,272,676
Members 490,101
Posts 30,457,086