Tanzania kutengwa na Kenya, Uganda na Rwanda...

Tanzania kutengwa na Kenya, Uganda na Rwanda...

Naogopa sana, siku mataifa tajwa hapo juu pamoja na Wote wanaotumia Lock Down kama njia ya kupunguza au kumaliza tatizo la Korona Wakifanikiwa basi Tanzania tunaweza Kupata wakati mgumu sana... Watatunyanyapaa kila tutakapohitaji kushirikiana nao kwa chochote kwani wataamini sisi bado hatuko salama. Mungu atupe mwisho mwema tu wa hili balaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja nyingine ni kama vichekesho

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mkuu wengine inaelekea hata hilo neno lockdown hawajui maana yake, wala hawahangaiki kujua nchi mbalimbali duniani zimechukua hatua gani kudhibiti corona. Ili mradi wamesikia wanasiasa wakisema Tanzania haina lockdown, basi wanafikiri nchi zote duniani zimefanya hivyo isipokuwa Tanzania.
Sweden yenyewe nchi yenye uchumi mkubwa wako mtaani na shughuli zinaendelea kama kawaida,na tena kwa siku wanapata case mpya hadi 300,lockdown si mchezo,rwanda hapo kuna ukatili mkubwa unaendelea during their lockdown,tusichukulie poa lockdown
 
Your not well informed,umetaja Kenya kuwa iko kwenye lockdown si kweli,wale wako kwenye partial mkuu isipokuwa kwa miji ya Nairobi ,Nakuru nk
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiopia 24 hrs hawana lockdown, hiyo lockdown ya kenya inayosifiwa inayosifiwa inamaanisha mchana maambukizi huwezi kuyapata,yanaanzia saa 11 jioni [emoji3] 'just joke',hivi mtu akiwa mtaani mchana kutwa then saa 11 anarudi home na virus ni kweli hawezi kuwaambukiza aliowaacha nyumbani!?
Hawa jamaa walianzaga kunichekesha pale dege lilipotua na wachina zaidi ya 250 wakawaruhusu kuingia then baada ya mda mfupi wakatangaza kuwatafuta mmoja mmoja mpk wawapate wakae karantin[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sweden yenyewe nchi yenye uchumi mkubwa wako mtaani na shughuli zinaendelea kama kawaida,na tena kwa siku wanapata case mpya hadi 300,lockdown si mchezo,rwanda hapo kuna ukatili mkubwa unaendelea during their lockdown,tusichukulie poa lockdown
Wewe unajilinganisha na Sweden ambayo hata ikitokea maambukizi makubwa wana uwezo wa ku-mobilise resources zao fasta kupambana na hali hio.

Sijui kama resources walizonazo Sweden kama sisi tunazo,hata robo ya uwezo wao hatuna.Lkn ngoja tuendelee kuwaiga tu hivyo hivyo.
 
Watatutenga? Unaongelea Tanzania? Haupo serious aisee. Na saa hii tuna kesi za Kenyans kukimbilia Tanzania. Mpaka wagonjwa wao wanatoroka wanakuja huku. Umepata kusikia mTanzania katoroka humu ili aende nchi ulizotaja?

Kuna watu wapumbavu kila nchi, ikiwemo Kenya. Kuna watu wanaamini watakuja huku kupata riziki zao ambao wanazikosa Kenya kwa kuwa huko kuna lockdown. Na hao wajao huku sio watunga sera kiasi kwamba uamini wanachofanya ndio msimamo wa serikali yao.
 
Naogopa sana, siku mataifa tajwa hapo juu pamoja na Wote wanaotumia Lock Down kama njia ya kupunguza au kumaliza tatizo la Korona Wakifanikiwa basi Tanzania tunaweza Kupata wakati mgumu sana... Watatunyanyapaa kila tutakapohitaji kushirikiana nao kwa chochote kwani wataamini sisi bado hatuko salama. Mungu atupe mwisho mwema tu wa hili balaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Watukatae tu

Kama una ubongo ndani ya kichwa chako tafadhali uwe unautumia ubongo wako kwa manufaa yako na ya jamii kwa ujumla. Nchi zote zinazotuzunguka zinalishwa au kwa lugha rahisi zinategemea chakula toka Tanzania. Wakitutenga wataishije?

Lakini pia wao wakifunga mipaka yao automatically na Tanzania inakuwa imefunga mipaka yake. Kwani wao hawatakuja nchini kwetu nasi hatutaenda nchini kwao. Hivyo tutajivuna kwamba tumepona corona pasipo kufunga mipaka lakini kiuharisia mipaka ilifungwa indirect.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiopia 24 hrs hawana lockdown, hiyo lockdown ya kenya inayosifiwa inamaanisha mchana maambukizi huwezi kuyapata,yanaanzia saa 11 jioni [emoji3] 'just joke',hivi mtu akiwa mtaani mchana kutwa then saa 11 anarudi home na virus kweli hawezi kuwaambukiza aliowaacha nyumbani!?
Lakini pia tujiulize, kati ya mchana na usiku ni mda gani ambao watu wengu mitaani hukusanyika? Mfano watoto, akina mama wengi wao, wagonjwa, wazee, ombaomba nk hawapendelei kutembea usiku. Je huoni kama Rais wa kenye ameuridhisha tu ulimwengu kuwa ana Lockdown lakini kiuhalisia ni danganya toto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ni hao watutenge tu,ila sio Congo,maana kuna bidhaa muhimu sana kule
 
Back
Top Bottom