Wahenga walisema kibaya kinajitangaza nakujitembeza sasa naelewa maana yake
Kama anayoyafanya ni mazuri kwa nini tulazimishane kumpongeza
Karibuni Kenya
Nchi hii kira kitu unaambiwa uzarendo kwani wakikaa wakatulia tu watakuwa hawajamuunga mkono huyo naniliu wao wasituchoshe bana
nini maana ya neno uzalendo
ccm ndio wametufikisha hapa yote aliyoyasema Magufuri ni maamuzi ya serekali yenye baraza la Mawaziri walio shinda kwenye ubunge kupitia chama cha mapinduzi ccm
Nakwataarifa yenu watu wanafanya vikao kira ck tunawaona wanatoka Dodoma ,Dsm wanakuja Moro everyday naposho zipo kama kawaida msisikilize maneno ya yawatu
Mm na mili gari moja na Nyumba
na sio hivo tu nimejisomesha kwa kuungaunga now nipo vizuri na Mke ninaye
nimeaanza kuhangaika na maisha nikiwa na miaka 20
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.