MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 932
- 1,576
Amina
Acha wivu mkuu, Kama akili yako ya kibashitelism TL huwezi kumuelewa.Na Alaaniwe amtegemeae mwanadam wewe badala ujiombee wewe na familia yako unahangaika na wanasiasa jipiganie mwenyewe
alindwe kwa kusaidia wanyonyaji kutafuna madini?
are you christian??Na ulaaniwe kwa roho mbaya uliyonayo. Laana hiyo idumu kizazi hadi kizazi, watoto wako watangetange mitaani wasipate msaada wowote
Mkuu nadhani hujui taabu ya kutokua na kazi na wakati huo huo fedha zako zimezuiliwa kwenye mifuko ya kijamii, na hii naweza kusema hujui kwa sababu kuu mbili:-Watetea mafisadi chadema katika ubora wao
Amtegemeaye mwanadamu hawezi kumuomba Mungu , usipotoshe maandiko matakatifu .Na Alaaniwe amtegemeae mwanadam wewe badala ujiombee wewe na familia yako unahangaika na wanasiasa jipiganie mwenyewe