mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,054
- 5,432
Mtukufu Mkuu wa Nchi Hatujaribiwi, hatutishiwi, hatushauriwi, hatuambiwi cha kuongea.
Kitendo chako cha kutunyima tusimjadili yule rais tuliyemchagua wenyewe akaita wawekezaji na akawaelekeza wanasheria na mawaziri wapitishe sheria za kuwapa mali zetu unajaribu kutujaribu.
Tulimchagua Mkapa wenyewe, tukampa madaraka wenyewe, tukampa dola wenyewe na ukuu wa mawaziri na wanasheria wakuu aliowachagua. Tukamlipa mshahara kwa kodi zetu wenyewe. Eti leo unatujaribu tusimseme Mkapa kwa sababu ya katiba yetu wenyewe. Hapana hapana hapana Mkapa must be put to task!! Mtemi chenge hakuwa mwenyewe wala Yona. OKAM= Operesheni Kamata Mkapa ni yetu wenyewe!!