Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

Nchi hii kira kitu unaambiwa uzarendo kwani wakikaa wakatulia tu watakuwa hawajamuunga mkono huyo naniliu wao wasituchoshe bana
nini maana ya neno uzalendo
 
Wahenga walisema kibaya kinajitangaza nakujitembeza sasa naelewa maana yake
Kama anayoyafanya ni mazuri kwa nini tulazimishane kumpongeza
Karibuni Kenya
 
Wengine wanaruhusiwa wengine intellejensia .......
 
Twaweza wanaokipeta chama cha mapinduzi,asilimia 80 ni wazee wasikuwa na elimu,na watu wasio soma na wamama wa vijijini
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Hao wameokotwa esso,ungalimited kwa ujira wa buku 7
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Walikuwa na kibali
 
Hapo ni tfa. Kilombero. Hao uvccm ngarenaro na matejoo
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Utakuta Mwenyekiti wa UVCCM ndie anajiita Jingalao
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.

Huu ni uhini wa ccm. Walivyo wachache Arusha, wameandika makartasi ya kwenye semina na kwenda kujipanga kwenye eneo la sokoni ambako watu wengi wanapita na kufanya biasharak au kweney busy street, wakapiga picha na kuita maandamano makubwa!

CCM hatafufuka tena!!! Imekufa mazima!.

. Upuuzi mtupu!
 
Mda ni msema kweli mzuri sana wanajf, huwa adanganyi wala hana unafiki na wala si msaliti kama wale, ye ni mkweli na mpenzi wa Mungu
 
Back
Top Bottom