Kabla ya uhuru Kilimanjaro ina vyama vingi bila visasi

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,160
2,000
Wiki iliyopita ilitawaliwa na maaamuzi ya mkuu wa mkoa Hai kuvamia shamba la Ukoo wa Mbowe na kulivunja vunja miuondombinu yake ,ili ni shamba ambalo kwa miaka karibu 100 limekuwa likirithishwa kwa vizazi vya familia hiyo (ardhi ya kimila)

Ndani ya wiki hiyo pengine katika kufanya...watu waamini kuwa sasa...wakazi wa eneo hilo wamelipiza kisasi ,nyumba ya mwenyekiti wa ccm ilichomwa moto

Inajulikana kabisa wazi hata kwa jasusi mwanafunzi au mchambuzi au mtambuzi yeyote kuwa hizo ni mbinu za..kale za..kijasusi na kipropaganda za ku honganisha wananchi wa sehemu..husika..ili waaze kutengana kwa minajili ya vyama ,wasile ,wasidhereheke ,wasizikane , etc huko nyuma wapo watu waliaminishwa kuna popo bawa wakaamini, wako watu waliwekeana mavi isimani wakaamini na...mambo kama...hayo ,wanatakiwa kueleewa..mbinu hiyo ya utengano mfano wa iliozaaa vita vya kimbari au mfano wa yanayotokea mkuranga NI DHAMBI KUBWA SANA

Kabla ya uhuru Ufalme wa kilimanjaro (umangi) ulikua demokrasia ya vyama vingi ,wagombea ubunge walipatikana kupitia vyama vyao..ili..kwenda kwenye bunge la chagga ...,ilikuwa kama"dola." Wakiwa na serikali ,bunge ,mahakama chini ya...Mangi mkuu ..ikiwa.ni.kati ya native gorvement iliyofanikiwa afrika sawa na Kabaka ....hadi kuwa na akiba...ya pesa za...kigeni hivyo ajuwe wenyeji sio washamba wa..vyama vingi

Watu hawatabaguana kwa ajili ya..vyama na...tabia hiyo ikemewe na.serikali ,viongozi wa dini na kimila
 
Sirdirashy

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
2,455
2,000
Siasa siasa visasi lazima kwenye riziki hapakosi vitina Tz uwanja wa siasa ni uwanja wa kutafuta riziki
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,160
2,000
Ni kweli zinahitajika kura za kila...mmoja ila bahati mbaya kuna maeneo hata wale waliowapa kura bado wakati wa kukaaa watalaumiwa....
Hakuna kura chache kwenye uchaguzi
Wazungu husema every vote counts
 
mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,068
2,000
Nyie wachaga wabaguzi mna roho mbaya na ubinafsi wa kiwango cha kutisha. Sisi tumebomolewa nyumba zetu za tangia kipindi cha Kambarage kupisha reli hatukuwaona mkiongea ila huyo mwizi fisadi mchicha wake kung'olewa kwenu ni msiba kabisa. Ndio maana ni saw a Magu aendelee kuwanyoosha anaziba mianya yenu yote ya wizi na utapeli tuone janja yenu sasa.

Kama mnatutambishia vyama ata sisi tulikuwa navyo vingi tokea AA mpaka TANU .
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,506
2,000
Yani yalofanywa na Mkuu wa wilaya ya Hai kwenye shamba la mbowe IPO siku hawa vibaraka wa ccm watakufa na hukumu yao dhidi ya watu wa Kilimanjaro itakuwa kubwa sana.
 
PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
367
250
we umejuaje km ni wenyewe wamechoma hiyo nyumba?
au muvi zimekufundisha hivyo?
usiishi kwa hisia na mazoea kupita kiasi, kuna siku utapewa taarifa za kuchepukiwa kwa mkeo!
 
JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
4,220
2,000
Wewe choko unawashwa na WACHAGA tutakukaza wewe mama yako na Dada zako wote. Choko we! Usisahau kumwambia huyo mungu wako kuwa WACHAGA walikuwepo kabla yake, tupo na tutaendelea kuwepo na ataondoka yeye atawaacha.
Nyie wachaga wabaguzi mna roho mbaya na ubinafsi wa kiwango cha kutisha. Sisi tumebomolewa nyumba zetu za tangia kipindi cha Kambarage kupisha reli hatukuwaona mkiongea ila huyo mwizi fisadi mchicha wake kung'olewa kwenu ni msiba kabisa. Ndio maana ni saw a Magu aendelee kuwanyoosha anaziba mianya yenu yote ya wizi na utapeli tuone janja yenu sasa.

Kama mnatutambishia vyama ata sisi tulikuwa navyo vingi tokea AA mpaka TANU .
 
masengere

Senior Member
May 15, 2016
154
225
Huyo Mh Raisi wetu hayupo kama mnavyomlisha maneno. Ninyi wabangaizaji ndio tabu sana.na ndio mnapiga kelele na ukabila wenu.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,419
2,000
Nyie wachaga wabaguzi mna roho mbaya na ubinafsi wa kiwango cha kutisha. Sisi tumebomolewa nyumba zetu za tangia kipindi cha Kambarage kupisha reli hatukuwaona mkiongea ila huyo mwizi fisadi mchicha wake kung'olewa kwenu ni msiba kabisa. Ndio maana ni saw a Magu aendelee kuwanyoosha anaziba mianya yenu yote ya wizi na utapeli tuone janja yenu sasa.

Kama mnatutambishia vyama ata sisi tulikuwa navyo vingi tokea AA mpaka TANU .
Huwezi kumuangusha mchaga hata siku moja.
 
mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,068
2,000
Wewe choko unawashwa na WACHAGA tutakukaza wewe mama yako na Dada zako wote. Choko we! Usisahau kumwambia huyo mungu wako kuwa WACHAGA walikuwepo kabla yake, tupo na tutaendelea kuwepo na ataondoka yeye atawaacha.
Wachaga mmepata kiboko yenu kama wizi mlifikiri ndio akili ibieni serikali ya Magu aendelee kuwanyoosha na ubaguzi wenu.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
11,401
2,000
Acheni kulialia sasa tulieni hivyo hivyo mtaisoma sana vimemo vya machame rombo hai kwisha habari yake.
Mchaga wa wapi analia lia? Mchaga muda wote anatafuta pesa. Siku hili linchi lenu likisambaratika itakuwa raha sanaa. Maana najua kuna bunch of stupid watawekwa pamoja kama ng'ombe tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom