Recent content by kalimaksi

  1. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa wazoefu wa kazi za tax na misheni town Dar es Salaam

    Sijajua wanalipaje Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa wazoefu wa kazi za tax na misheni town Dar es Salaam

    Nipeni ushauri sehemu gani ya Dar es salaamu inafaa kwa kupigia pesa na hii carina Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Wadau nina Carina TI hapa, nawaza kujiajiri nayo nipeni wazo wapi pazuri pa kupiga pesa

    Nawaza kupigia mishemishe na gar yangu lkn cjui wapi pakupigia kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Hekima inahitajika..me naona aliyedhalilika zaidi ni aliyetoa kauli maana chungwa halizai parachichi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Someni pia vitabu vya Dr Myles manroe. Kuna app pia playstore Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani umeamua kuacha kuyafanya ambayo unadhani yaliyokuwa hayana faida kwako?

    Nimeacha kuongea bila kufikiri kwa kina Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kalimaksi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

    Duh so sad Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania NIT mmepeleka wapi mikopo ya wanafunzi

    Inasemekana kuwa wanafunzi was chuo cha taifa cha usafirishaji wamekua wakipata shida sana na mikopo yao ya elimu ya juu kutokana na mambo yafuatayo! 1. Ubovu wa ratiba za chuo hicho. 2. Uongozi usiokuwa na utendaji wa kuzingatia muda na uhitaji!Uhasibu. 3. Kupuuzwa kwa serikali ya wanafunzi...
  9. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Rwanda iungane na Tanzania kuwa nchi moja

    Nitafaidi mke tuu hapo
  10. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri, nani mwenye demokrasia?

    Jana nilifanya mahojiano na Mkuu wa kituo Fulani kinachosaidia yatima na wasiojiweza alichoniambia kilinishtua kidogo!! Anadai kwamba kwa sasa wazungu wamesitisha misaada baada ya kituo kukataa kusambaza kondom na contraceptives !! Imagine!! Hawa wazungu wanatutaka nn kama sio kuua uzao wa...
  11. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri, nani mwenye demokrasia?

    Kama hawatoi msaada bure basi huo sio msaada! Kwa lugha nyingine alichokifanya magufuli kinatakiwa kuigwa na viongozi wengine wa africa
  12. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi watatu TANESCO Watiwa Mbaroni Kufuatia Kifo cha Mfanyakazi Mwenzao Aliyenaswa na Umeme

    We actually having a problem with most goverment organisations especially Tanesco!! In most department they work under memo recognitions ,,no matter how early and in need someone is!!! Notable example The main head quarter Rombo district!! Ni jipu!! Were is magufuli plz
  13. kalimaksi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumbe wanawake mnapoenda kusuguliwa miguu kwa wale 'maboy' mnafuata faraja eeh!!

    Uzinzi huu
  14. kalimaksi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Arusha, Mabasi Luxury (First Class)

    Panda urio safari
Back
Top Bottom