kalimaksi
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 126
- 21
Inasemekana kuwa wanafunzi was chuo cha taifa cha usafirishaji wamekua wakipata shida sana na mikopo yao ya elimu ya juu kutokana na mambo yafuatayo!
1. Ubovu wa ratiba za chuo hicho.
2. Uongozi usiokuwa na utendaji wa kuzingatia muda na uhitaji!Uhasibu.
3. Kupuuzwa kwa serikali ya wanafunzi na management ya chuo hicho.
4. Ufuatiliaji mbovu wa matatizo ya wanafunzi na kutosikilizwa kwa maoni ya wanafunzi.
HILI NI JIPU, WAPI WIZARA HUSIKA? TUMBUENI TAFADHALI