Usafiri wa Arusha, Mabasi Luxury (First Class)

Usafiri wa Arusha, Mabasi Luxury (First Class)

Bus luxury Barabara ya Arusha-DAR ni kampuni mbili tu Tahmeed na Metro mengine ni SEMI LUXURY kwa mujibu wa Sumatra
 
panda dar express semi luxury marcopolo viaggio 1050 G7
ubaya wa dar express ana magari mengi ya zamani yanaanza namba C unakuta yamechoka sana.

panda Tahmeed au Modern au Happy Nation hizi mpya namba inayianza na DG...

ukikosa kabisa panda bus lolote jpya kuanzia namba DF.... ukioata DG ni bora zaid..

achana kabisa kupanda mabus yanayoanza na namba A, B, C na DA-DB yanakuwa yamechoka sana. naongea kutokana na uzoefu mkuu.
 
Safari za Dar Arusha sijawahi kupanda bus zaidi ya Kilimanjaro na Dar Express.
Mkuu upo karne ya ngapi? Dar ex press na Kilimanjaro gari zao nyingi znazaid ya miaka nane njiani... kwa nini upande vtu chakavu wakati kuna magari mapya masafi na unasafir kwa luxury vizuri.

naonaga wanaopanda dar ex press kuwa ni washamba wa mabus, hawajui kuwa kuna mabus mazuri zaid.
 
Mashine kama Intercape sleeplinerza south africa ndio full luxury.. Huku bongo bado..
 
Attachments

  • G7-Sleepliner.png
    G7-Sleepliner.png
    26.8 KB · Views: 202
Dar express na kilimanjaro hakuna hata moja lenye ac joto sana
Siyo kweli Dar Express inayoishia Na reg DFR ni full A/C hadi mwisho Wa safari. Jana tu nimelipanda to arusha. Bei ni 33tau. Njiani kula pale highway uje na 10 tau. Ndani wanasave soda au maji moja Na pkt moja ya biskuti za kitoto ya shs 150 .msafiri jiandae koti au sweta au shuka zito
 
Tahmeed ni kweli wamejipanga wana mpaka free Wifi.mlangarini ni vumbi mno
 
morden coast .kitu cha travel in style.afu sasa upande first class coz wana seat aina tatu ndani ya gari moja veeery raha.
 
Habari zenu ndugu!!

Nipo Dodoma. Ninategemea siku chache zijazo Mungu akijaalia uzima, nitasafiri kwenda Arusha.. Lakini safari yangu ya Arusha itaanzia Dar Es Salaam.

Ninategemea kusafiri kwa basi. Ombi langu kwenu ni, kuomba mnijulishe mabasi ni mabasi ya kampuni gani ambayo ni Luxury (First Class) kutoka Dar kwenda Arusha na pia nauli ni shilingi ngapi?

NB:
Ikumbukwe kuwa Sumatra wametenga mabasi kwa kufuata madaraja. Kuna Luxury, Semi Luxury na Ordinary classes.

Mfano. Nauli kutoka Dodoma kwenda Dar kwa Luxury ni Tsh 40,000/- wakati kwa Semi Luxury ni Tsh 20,000/-

Je, Dar - Arusha je?
Panda urio safari
 
Mkuu panda Dar exp nauli 35,000
 
Nini maana ya bus kuwa Luxury?
Ni kuwa na AC, Video, kochi zuri, Socket ya kuchajia simu?
Ni upya wa gari? Usafi? Brand(Scania, Benzi)?
Ni bei ya nauli? Mbwembwe? Swaga?
 
Nini maana ya bus kuwa Luxury?
Ni kuwa na AC, Video, kochi zuri, Socket ya kuchajia simu?
Ni upya wa gari? Usafi? Brand(Scania, Benzi)?
Ni bei ya nauli? Mbwembwe? Swaga?
Nadhani Sumatra wana vigezo vya Normal, Semi luxury na Luxury. Haihusu upya wa bus bila shaka
 
Kilimanjaro na dar express zishachokaga
Wivu tuu. Kila mwaka wanatoka Na kitu jipya! Hiyo DFR ya Dar Express ni ndege ya ardhini. Tatizo wanasave biskuti za kitoto! Huduma zingine na gari Big Up.
 
Back
Top Bottom