Recent content by kaliala

  1. K

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Harrier old model cc2360 yenye vvti na cc 2160 isiyo vvti yofauti yake ktk ulaji wa mafuta ni IPI???
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la kuuza mahindi kwa bei nzuri

    Tujulishe ulipo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

    Tank mnaweka la litre ngapi?,na je kama nina tank na pump mtanicharge kiasi gani?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa stationery anahitajika

    Yupo Mbagala inawezekana?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco na umeme wa Mbagala

    Kwani Tanesco wanafaa?kifupi hawafai!,ktk mashirika ya umma ninayoyachukia la kwanza ni Tanesco haiwezekani nilipie nguzo,waya,service line kisha bado nalipia service charge,eura,rea,kodi ya umeme ninaotumia nyumbani kila mwezi wakati nalipa kodi zote za serikali ,umeme bei kubwa halafu umeme...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ananilea Nkya: Magufuli akichaguliwa Ufisadi na Umasikini vitaongezeka

    Mamba akitoka mto wami akiibukia mto ruvu hawezi badilika kuwa kenge badala yake atakuwa mamba mkubwa zaidi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba

    natamani tuwe majirani,vipi amekujulisha wanauza being gani kwa heka?
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali hii ya huyu house girl inatisha

    Rudisha kwao tu ndio suluhisho
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mambo Kumi Unayotakiwa Kuacha Kabla Hujaingia Mwaka 2015

    Kaka maneno mazito hayo asante sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hijab ni vazi rasmi bbc swahili?

    Acha ubaguzi we we wale masister kule kanisani hawavai hijab?Hilo ni vazi tu na ni uamuzi binafsi wa mtu kuamua kuvaa hilo vazi chukulia mfano mrema ni dini gani na mbona anavaa barghashia?mbona wanigeria wanaume wengi wanavaa kanzu INA maana wote wanaenda mckitini?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Soko la sukari kutoka viwanda vyetu vya ndani

    Tumechoka na ukiritimba wenu mlituuzia sukari mpaka tsh 3000/-kwa kilo Leo wanaojua kufanya biashara nje ya mipaka ya nchi zao wanawakimbiza mnaanza kulialia na serikali kwa mini na nyinyi msitafute masoko ya nje kama kweli sukari yenu INA ubora wa kimataifa?sisi wananchi tunachohitaji ni unafuu...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Kaka inakuwaje? Tafadhari nicheck 0788443644
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Best unachakachuaje azam kupata sbc?
Back
Top Bottom