sitaki kuhifadhi mahindi nikishavuna ni kuogopa gharama na mahindi yangu kuliwa na wadudu na panya. ni wapi soko "zuri" la mahindi lilipo?
Uko wapi na nibei gani kwa kilo?sitaki kuhifadhi mahindi nikishavuna ni kuogopa gharama na mahindi yangu kuliwa na wadudu na panya. ni wapi soko "zuri" la mahindi lilipo?
ukishavuna utatuambia tuje kununuasitaki kuhifadhi mahindi nikishavuna ni kuogopa gharama na mahindi yangu kuliwa na wadudu na panya. ni wapi soko "zuri" la mahindi lilipo?
Arusha 780 kwa kilositaki kuhifadhi mahindi nikishavuna ni kuogopa gharama na mahindi yangu kuliwa na wadudu na panya. ni wapi soko "zuri" la mahindi lilipo?
Ungekuwa na mzigo wa kutosha ningekusakizia mteja wa 680 kama inakuridhisha. Ila ukitaka kufaidika yatie dawa utulie nayo mpaka December.Nimelima Morogoro, gunia 300 tu
unauzaje?Nimelima Morogoro, gunia 300 tu
Mkuu jinimtu nisaidie mawasiliano NMC ArushaArusha 780 kwa kilo
Nimekuinbox mkuuMkuu jinimtu nisaidie mawasiliano NMC Arusha
Thanx boss nimeonaNimekuinbox mkuu
Poa mkuu usijali.Thanx boss nimeona
Kwann hukusoma shule...Iv debe moja ni kg ngap?
HaaaaaaaaaaKwann hukusoma shule...
Ni kati ya kg 18 hadi 20Iv debe moja ni kg ngap?