Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

mi nilizani umenicoti unaongea kitu cha maana.... kwani huu uzi una muda gani humu jf.? na alie kwambia tp nikama msahafu ni nani.? funguka ubongo bwana mdogo... maisha ya sathanter ni kama digidigi... kuhama hama ni lazima.

nilikuwa sijaingia humu kitambo..... Ila lugha uliyotumia ni kali kna kwamba unagombana na mtu humu...... Kwani nani aliyezungumzimzia mambo ya misahafu humu?? Binafsi sija reply ovyo/sija kashifu post yako. Fikiria kabla hujamjibu mtu ali reply ktk post yako kaka
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

editing..

Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000

nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.

Nimejaribu Kusearch nimepata another channels za MUVI TV jaribuni kusearch tena.
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

editing..

Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000

nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.

mkuu Ph-25, nime install azam but nimepata baadhi ya chnl, za tz na azam hazijaingia, nitakuwa nmekosea wapi mkuu.
 
Kama nimeelewa swali lako, azam ina tp mbili, bila shaka umescan moja tu, kascan na tp ya pili utapata zote
 
mkuu Ph-25, nime install azam but nimepata baadhi ya chnl, za tz na azam hazijaingia, nitakuwa nmekosea wapi mkuu.

umepata chanel gani.? na rcvr ulio tumia ni ipi.?
 
Mkuu unaweza tupia freq zingine ili niweze kupata free channels za South Africa,Ghana,Nigeria,Congo,Kenya,Uganda etc!

sio kila chanel inapatikana kwenye angle ya azam... ondoeni izo imani mlizo nazo kwakua tu unamiliki azam dish basi unataka kila chanl upate hapo apo... hakuna kitu kama iko...
tafuta dish lingine ili upate izo chanel uzitakazo...
 
nilikuwa sijaingia humu kitambo..... Ila lugha uliyotumia ni kali kna kwamba unagombana na mtu humu...... Kwani nani aliyezungumzimzia mambo ya misahafu humu?? Binafsi sija reply ovyo/sija kashifu post yako. Fikiria kabla hujamjibu mtu ali reply ktk post yako kaka

kitu ambacho sikipendi ni mtu aniqoute kwa mambo ambayo tayariyamesha zungumzwa humu...

kwanini usijiongeze kuusoma uzi kwanza kisha ndo ulete swali.?

kila kitu kipo humu soma kwanza acha uvivu.
 
Unapata channels zipi mkubwa. Unaweza kuziorozesha Ili tuzijue.

acha uvivu mzee kwanini usifanye io kazi kwanza uko kwa tv yako mwenyewe... mbona unapenda kutafuniwa kila kitu.

maelezo yako humu ya.kutosha tu fanya mwenyewe ukishindwa uliza muda wa kuorodhesha chanel hapa sina.
 
EPL imeshaanza, je kuna alieicheki mechi yoyote kupitia mautundu haya?

kuba chanel nyingi sana za fta zinazo onesha izo ligi... ila watu ni wavivu kuhunt sat... binafsi nacheki game za mastar zote hure na silipiii kitu... na jinachanel zipatazo 10 za mpira tena fta.. na mpaka uefa ya j4 nacheki fta bila ya key wala nini... tena kwa rcvr ya azam tu.
 
Jamani na sisi wa star times haya maujanja yanakubalii??????

lazima ujue kua kunatofauti kati ya mwanaume na mwanamke... kama haujui tofauti ya viumbe hao wawili basi nina mashaka na uelewa wako...

nadhani umenielewa.
 
Wengine hatujui hata kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Tv na ving'amuzi. Mimi nipo na Jamiiforum, mahali nilipo Tv ni kama hadithi. Jambo pekee ninalojifunza hapa ni kuwa mambo ya ving'amuzi ni gharama, usumbufu na pasua kichwa.

kijana masikini wa fikra kama wewe ni hazina ya kura kwa ccm...
 
Fashion box
Docubox
Fast fun box
Film box
Fight box12382 v 30000 zipo hewani amos5.blindscan and enjoy
 
lazima ujue kua kunatofauti kati ya mwanaume na mwanamke... kama haujui tofauti ya viumbe hao wawili basi nina mashaka na uelewa wako...

nadhani umenielewa.

Mkuu sawa uelewa wangu una mashaka..lakini ungesema tu kuwa ujanja huu kwa star times haukubali au unakubali,ungepungukiwa kitu gani mkuu???
Tuache haya mambo ndugu zangu watanzania.
 
Du kiongozi nmefuatilia huu uzi wako wa kuongeza chanelz ktk Azam, but sjaelewa unaongeza satelite gani? au unaandika ile ile ya Eutelsat 7A ambayo Azam inatumia? plz gentleman let me have dat satelite.
 
jamani naomba freq. za kupata cctv ya china na pia unapata chanel za urusi
 
Du kiongozi nmefuatilia huu uzi wako wa kuongeza chanelz ktk Azam, but sjaelewa unaongeza satelite gani? au unaandika ile ile ya Eutelsat 7A ambayo Azam inatumia? plz gentleman let me have dat satelite.[/QUOTuna create setelite nyingine
 
jamani naomba freq. za kupata cctv ya china na pia unapata chanel za urusi

cctv utaipata ktk intelsat20 nyuzi 68 e ilipo aljazeera 4064 h 19850.kwa chanel za urusi hasa rt nimetafuta hadi nimechemka.kama kuna anayejua ilipo atoe msaada hapa
 
Back
Top Bottom