Recent content by kaka mzuli

  1. kaka mzuli

    Kuthibitishwa kazini walimu wa ajira ya 01/05/2015 na uhakiki

    Vumilieni ndo watendaji wetu ao, wenzenu tuliajiriwa 2013 lakini barua tukapewa 2015
  2. kaka mzuli

    Wajuzi wa hesabu nisaidieni swali hili

    Wengine tunajionea mauzauza tu ciz upande huu tulikimbiaga mapema sana
  3. kaka mzuli

    Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

    Hakuna mtanzania anaeishi kama shetani.. inabidi mkuu awe anachagua mifano mzr
  4. kaka mzuli

    Biharamulo: Kurudishwa kwa pesa za mishahara zilizoongezeka

    Ndo warudishe mkononi kwa mwasibu kwann wasiwape account inayoucana na mambo ayo wakarudisha uko na wilayan wakapeleka risti za benk tu, wanataka kuwaibia tu kataeni kurudisha mkononi
  5. kaka mzuli

    VIDEO: Mtoto Getrude akaribishwa Bungeni Dodoma baada ya kutoka Marekani

    Anasoma shule gani ya kata maana kwangu imegoma kufunguka
  6. kaka mzuli

    Meya wa Jiji la Arusha azinduwa Ofisi ya StarTimes Arusha

    Mboba rais aliepita alikua anaenda kwenye vigidoro vya mawingu fm
  7. kaka mzuli

    Waziri Mhagama: Vijana mjihadhari na shisha, zinachanganywa na madawa ya kulevya

    Nenda tabata kimanga kunakituo kinaitwa jiandae pake kuna baa shisha zinapigwa adharani naisi utazijua
  8. kaka mzuli

    Sikukuu ya Wafanyakazi LIVE Bunge Turn off

    Adi jioni unakuaga kazini kwanini kipindi cha jioni wasikioneshe live asubuhi ndo wakarekodi
  9. kaka mzuli

    Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani, Mei Mosi

    Ila naangalia apa najiuliza ivi izi sherehe zimeandaliwa na chama cha wafanyakazi au imeandaliwa na serilikali kusifiwa na wafanyakazi
  10. kaka mzuli

    Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

    Na waalimu wanavyotukanwa na wazazi pamoja na wanafunzi katika majukumu yao nao wangepandishwa vyeo...
  11. kaka mzuli

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja mkurnga mm niende kibaha ni pm
  12. kaka mzuli

    Idadi ya Watumishi Hewa Kinondoni yafikia 89

    Sasa aowalioama ni makosa yao au nia maafisa utumishi kwann wasiwaamishe mishaara yao tu mambo yaidhe
  13. kaka mzuli

    Sakata la Sugu na Blue: Nay wa Mitego amuomba Mr. Blue 'amuuzie kesi'

    Unauakika kaiba au naww unackiliza projo za mitaan
Back
Top Bottom