Wafanya kazi wengi wa Tanzania leo tena wanasubiri kuambiwa ahadi hewa ambazo zimekuwa zikitolewa na viongozi wa serikali kila mwaka na kutekelezwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwasababu na wao majukumu yao ni hewa.
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi Tanzania ni MAJIPU makubwa sana hawana mchango kwa wafanyakazi isipokuwa wameungana na serikali kumnyonya mtumishi.
Kama inawezekana MAGUFULI awasaidie watumishi kuwatumbua hao viongozi wa vyama vya wafanyakazi.