STARTIMES
Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro azinduwa Ofisi mpya za StarTimes jiji Arusha. StarTimes Florida Shop
Katika uzinduzi huo ,Meneja wa Startimes Arusha alimshukuru Meya wa jiji kwakukubali mwaliko wa kufunguwa ofisi huku ikiwa sio siku za kazi,hata hivyo Mr Kelivin alimwakikishia meya wa jiji kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja,na lengo ni kuhakikisha kila mkazi wa jiji la Arusha anaweza kuipata huduma ya StarTimes kwe bei poa na kwa ubora zaidi.kwani kwa sasa tunauza vinga muzi vyetu kwa bei nafu ya shilingi 22,000/ na vile vya dishi tukiviuza kwa shilingi 86,000/ vyote vikiwa na muda wa hewani ndani na ufundi bure.Tumejidhatiti kuhakikisha tunawahudumia wateja wetu ndio maana tumeamuwa kufunguwa ofisi mpya ilikuwahudumia wateja wetu,
Akizungumza katika Uzinduzi huo Meya wa jiji aliwashukuru Startimes kwa kumpa mwaliko na kuwaomba waendele kutoa huduma bora kwa wateja na pia alisema "nawaomba sana vijana wa Startimes fanyeni kazi zenu kwa bidi na mimi kama Meya ofisi yangu iko kwa ajili yenu hivyo tumieni muda wenu katika kufanya kazi.naamini mazingira na mazuri ya jiji letu ni kivutio kwa makampuni kuja kuwekeza, pia nawashukuru sana sana na niwatakia kila la heri.
Chanzo StarTimes Ukurasa.
Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro akikata utepe katika duka jipya na la kisasa la StarTimes na kulia kwake ni Meneja wa StarTimes Arusha Mr Kelvin.
Meye wa Jiji la Arusha Mh Kalist akiwa katika Picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Startimes Arusha
Meneja wa StarTimes Arusha Mr Kelvin akizungumza kulia kwake ni Mh Meya Kalist